Recent content by ozn

  1. O

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya uhasibu naombeni msaada wenu

    Usifocus kwenye kazi moja eti uhasibu tu anyways, Kuna kazi ya kuwa mke wa mtu utaiweza?
  2. O

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nafaka ina umafia mwingi. Kwa wanaotarajia kuanza kuuza nafaka chukueni tahadhari

    Umenikumbusha mbali kuna jamaa yangu aliwahi kununua balo la mitumba 2017 akakuta zote ni bendera za marekani .
  3. O

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Hii nchi kuna sehemu imetoboka wakati wanasema wanahitaji jeshi dogo ila la kisasa basi wangeandika tu kama wanahitaji waliofeli form six maana wengi wetu tunakopa nauli kwenda kupambania kisichokuwepo.
  4. O

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Sawa mkuu
  5. O

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Mkuu Kwa ambao mzazi mmoja alifariki kabla ya Mambo ya nida hayajakuwepo wanahitaji uthibitisho wa kifo chake au namba ya nida ya mzazi mmoja inatosha.
  6. O

    JamiiForums Tanzania Ufaulu huu naweza kusoma BSc in Physics and Chemistry?

    Mkuu hiyo combination inaitwaje ?
  7. O

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Kifo ni popote boss usikariri
  8. O

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Uzi umepoa.
  9. O

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Lakini majiko mawili uhakika( kihangaiko , Oljoro)?
  10. O

    JamiiForums Tanzania Nina Division Two ya point 10 (PCB)

    Omba quantity survey au architecture , Ardhi University .
  11. O

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Hapo fresh mkuu
  12. O

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Oljoro napo watapigisha kozi ?
  13. O

    JamiiForums Tanzania Ajira za JWTZ - Vijana waliopo JKT na waliomaliza mkataba wa JKT

    Wakuu naomba kuuliza, je kwa mtu aliyetuma maombi bila kutumia njia ya ems kuna uwezekano maombi yasifike kwa wakati maana mimi nililipa sh.2000 ya stempu pale posta ya daresalaam tarehe 7. 8.2024 kisha nikatumbukiza bahasha kwenye kile kisanduku cha posta kwahiyo naomba kujuzwa kama nilikosea...
  14. O

    JamiiForums Tanzania Nilivyopata pesa nyingi nilipokuwa askari wa TANAPA

    Mkuu hivi Kwa wanaofanya internship TANAPA huwa Wana posho maana nilitaka niombe nafasi ya internship
  15. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kijana jiepushe na kupiga mipira iliyokufa

    Dead ball specialists 😂😂
Back
Top Bottom