Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 37,315
- 50,218
Vyuo vipo vingi tu mkuu unaweza kupata nafasiKwahiyo mkuu naweza nikapata nafasi ya kusoma udsm Kozi hiyo ya BSc with education(physics
Vyuo vipo vingi tu mkuu unaweza kupata nafasiKwahiyo mkuu naweza nikapata nafasi ya kusoma udsm Kozi hiyo ya BSc with education(physics
kama wewe ni Mchaga au Muhaya iga ndugu zako. Yuko tayari akomae mpaka apte anachokitaka. Ninamaanisha fanya paper ya math six upate kigezo.Tatizo mkuu sijasoma math
Mkuu hiyo combination inaitwaje ?Nilikuwa naomba uelewa kuhusu Kozi ya BSc in physics and chemistry inayotolewa udsm kama naweza kusoma. Ufaulu wangu nimepata one ya sita, physics B, chemistry A na education C