Recent content by ozigizaga

  1. ozigizaga

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Inasemekana Trump alishakufa iliyopo ni clone yake

    Tena Uyole ya Nsalaga
  2. ozigizaga

    JamiiForums Tanzania Maeneo matatu yenye baridi zaidi Tanzania with facts

    Nafikiri Mzuzu kuna baridi kali kuliko Lilongwe mkuu.
  3. ozigizaga

    JamiiForums Tanzania Maeneo matatu yenye baridi zaidi Tanzania with facts

    Kawetele ni funga kazi, kuna isyonje na igoma pia
  4. ozigizaga

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna bus zilizokua na Aura kama Sauli Luxury 2018-2024 Mikoa ya nyanda za Juu kusini?

    Shida sio gari, shida ni wahudumu ndo wanamuangusha.
  5. ozigizaga

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna bus zilizokua na Aura kama Sauli Luxury 2018-2024 Mikoa ya nyanda za Juu kusini?

    Maning nice, Baraka Classic, Sama luxury, Ngasere
  6. ozigizaga

    JamiiForums Tanzania Kuna nini hasa kati ya Dotto Magari na Cherry Hollister? Beef yao imeanzia wapi mpaka kufikia tuhuma nzito kiasi hiki?

    Lakini data za clients wapya nyingi ni kubumba sana, atleast kwa sasa baada ya kuleta mambo ya finger print japo bado kuna michezo ipo, nimefanya huko miaka 5 so najua ninachoongea(ghost Clients)
  7. ozigizaga

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna bus zilizokua na Aura kama Sauli Luxury 2018-2024 Mikoa ya nyanda za Juu kusini?

    Nimegundua jamaa ni mnazi wa Jason/Newforce ndo maana nikaona tutaanza mabishano bila sababu ya msingi.. suala ni kwamba chaka la Newforce tunduma lishavamiwa kama ilivo kwa superfeo Songea
  8. ozigizaga

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna bus zilizokua na Aura kama Sauli Luxury 2018-2024 Mikoa ya nyanda za Juu kusini?

    Nyakati zonabadilika mkuu, kwa sasa ABC anapeleka gar nyingi TUNDUMA kuliko Newforce/Golden. Mfano tatiba ya kesho ABC ana gari za dar-tdm 7 wakati Newforce/Jason anazo 5
  9. ozigizaga

    JamiiForums Tanzania Ukilewa usichat na usitoe hotuba, kongole wasaidizi kwa hili

    Fasihi katika ubora wake, ukilewa usisome maana hutaelewa
  10. ozigizaga

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtu aibe king'amunzi(GPS) Malawi Chiweta, kuna wezi sana hili eneo

    G440 ikipambana na Chiweta
  11. ozigizaga

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Mitsubishi fuso tipa ya tani 4 naileta rasmi sokoni

    Mpya na brand new kuna tofauti mkuu? Ila nimekuelewa kiongozi
  12. ozigizaga

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Haiwezekani Watu wakakesha kwenye Ibada au Baa kila siku, uzalishaji utafanyika Saa ngapi?

    Tangu lini wakatoliki wakakesha kanisani mkuu?
Back
Top Bottom