Huu ni uongo mkubwa Nigeria juzi tu ilikuwa kati ya nchi yenye jeshi baya la polisi, leo imefikaje hapo. Halafu Rwanda ni zaidi ya US? huu sasa ni utani.
Itasaidia nini?Kenya ni service lakini ipo kwenye top ten ya polisi wanaofanya vibaya Duniani lakini ukiangalia Uingereza na mataifa mengi makubwa ni force lakini bado wako vizuri sana. Ujinga ni kufikiri kubadili jina kutaleta ufanisi badala ya kuwekeza zaidi kwenye usalama.
Tangu
Tangu lini sniffer dog akaenda kulinda, huo ni uropokaji tu yule mbwa popote aendapo lazima awe na handler wake ambae ni askari tena kwa kazi aliyofunzwa tu ambayo ni utambuzi sasa alienda kunusa pilau au.
*IGP Mgaya: Bila kujitegemea tutauza mpaka Ikulu*
DEC 04, 2014
by RAIA MWEMA in HABARI
HIVI karibuni, LIVINGSTONE RUHERE, alifanya mahojiano na aliyepata kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Philemon Mgaya, ambaye pia alipata kuwa msaidizi (ADC) wa Mwalimu Julius Nyerere. Yafuatayo ndiyo...
Waambie hawa waropokaji wao wanafikiri upelelezi ni rahisi sana, unaweza kuwa na uhakika kabisa kuwa huyu ndio muuaji lakini akagoma kutoa ushirikiano ili kupata ushahid wa kupeleka mahakamani ndio maana mara nyingine inatumika njia mbadala.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.