Shahidi kesi ya bilionea Msuya: Niliteswa mpaka nikahasiwa na Polisi na kuamua kumfukuza mke wangu

Huu utetezi wao kwamba wote walikuwa Wamesafiri kipindi fulani unachekesha! Mahakama sio ya kutania
 
Mohammed Al-qahtani (21) wa saudia ndie binadam alieweka rekodi ya kuteswa kwa mda mrefu na mfululizo(na jesh la marekani ili ataje alipo osama) kwa njia zote za mateso gerezan na za ziada takriban njia zaid ya 23 ndani ya siku 48 bila kupumzika ndipo akakiri tena jamaa wakiwa washakata tamaa nae. hahaaaa mi nikiona tu kiboko nakiri hata nisiyoulizwa
 
Hivi kwa mini polisi au mawakili wao wasiwasiliane na makampuni ya simu zao na kujua siku hio,mda huo wa mauaji walikua wapi?Very simple.Record zipo mbona. Bongo bana.
Mkuu kinachoendelea sasa hivi ni utaratibu tu wa kisheria yaani ni kama mchezo fulani hivi ili tu kucheza na sheria kuweza kuithibitishia mahakama kwamba muuaji ni yupi haki iweze kutendeka lakini muuaji anajulikana hata records zao za simu zipo tu mbona ni swala la muda tu.
 
ha
Halafu wote wamerudi tarehe moja ambayo ndio siku ya tukio..
hao jamaa hata mawakili wao wameshindwa kuwapa mbinu za ushindi wa hii kesi,utetezi wao umejikita kwenye kuteswa na police tu kitu ambacho hata mahakama inajua kabisa kuwa ni lazima uteswe sometimes ili useme ukweli, huwezi kuwa unatuhumiwa kesi kubwa hivyo afu interrogetors wawe wanakuhoji kwa kukubembeleza
 
Watumie fingerprint kwenye silaha na maganda yarisasi muuaji anakamatwa mapema, hao wapanga njama ndio kazi kuwakamata.
 
ha

hao jamaa hata mawakili wao wameshindwa kuwapa mbinu za ushindi wa hii kesi,utetezi wao umejikita kwenye kuteswa na police tu kitu ambacho hata mahakama inajua kabisa kuwa ni lazima uteswe sometimes ili useme ukweli, huwezi kuwa unatuhumiwa kesi kubwa hivyo afu interrogetors wawe wanakuhoji kwa kukubembeleza
Huu mchezo walichemka sana...
 
Kutoa maelezo au kukiri kosa kwa sababu ya kuteswa ni kinyume cha sheria na mahakama ikithibitisha kuwa kulikuwa na mateso basi haitakubali maelezo yatumike kama ushahidi! Na ndiyo maana hao washtakiwa na mawakili wamejikita kwenye hiyo hoja! Hiyo ndiyo mbinu sahihi kwani walishaandika maelezo ambayo walikiri na wakaelezea mpango mzima. Wewe unafikiri ni mbinu gani ingekuwa bora zaidi?
 
Huu mchezo walichemka sana...
inasemekana Chussa aliwachoma,alikua na bifu flani na sharifu miaka ya nyuma la kuzurumiana mawe,akaona ndo muda wa kuwapoteza wote pamoja na msuya,msuya kafa na sharifu ndo huyo yuko jela..chusa alimdanganya sharifu akamuue msuya afu yeye ndo akaenda kumchoma kwa police ili apotezwe..
 
Polisi wa Arusha wanaongoza nchi nzima kwa kubambikia watu kesi zisizo zao. Ushahid huu ninao
 
Mnategemea watuhumiwa wasijitetee? Kama tu Musa Mangu alikuwa ni driver wa Mohammed Sharif lkn kwenye utetezi amemkana kuwa hamfahamu kabisa ; unategemea nini kitashindikana wasiseme wote kuwa waliteswa?
 
Kutoa maelezo au kukiri kosa kwa sababu ya kuteswa ni kinyume cha sheria na mahakama ikithibitisha kuwa kulikuwa na mateso basi haitakubali maelezo yatumike kama ushahidi! Na ndiyo maana hao washtakiwa na mawakili wamejikita kwenye hiyo hoja! Hiyo ndiyo mbinu sahihi kwani walishaandika maelezo ambayo walikiri na wakaelezea mpango mzima. Wewe unafikiri ni mbinu gani ingekuwa bora zaidi?
Mbinu nzuri ili kudhibiti tabia ya wahalifu kujitetea kuwa waliteswa ni kuhakikisha katika kuwahoji anakuwepo mlinzi wa amani tofauti na polisi
 
Mohammed Al-qahtani (21) wa saudia ndie binadam alieweka rekodi ya kuteswa kwa mda mrefu na mfululizo(na jesh la marekani ili ataje alipo osama) kwa njia zote za mateso gerezan na za ziada takriban njia zaid ya 23 ndani ya siku 48 bila kupumzika ndipo akakiri tena jamaa wakiwa washakata tamaa nae. hahaaaa mi nikiona tu kiboko nakiri nisiyoulizwa
Waambie hawa waropokaji wao wanafikiri upelelezi ni rahisi sana, unaweza kuwa na uhakika kabisa kuwa huyu ndio muuaji lakini akagoma kutoa ushirikiano ili kupata ushahid wa kupeleka mahakamani ndio maana mara nyingine inatumika njia mbadala.
 
Wana GT kwa yeyote mwenye kujua mwendelezo wa kesi ya mauaji ya bilionea msuya ilipofikia aje atililike, jn ktk pitapita zangu nilirusha jicho kwa abiria mwenzangu aliyeshika gazeti la mwananchi nikaona mmoja wa wauaji amekuwa acquitted so nikaja mbio jf nikitegemea wadua mtakuwa mmeshaachia thread, kumbe hamna kitu. Karibuni

Upo uzi mwingine umu umechambua na wadau wameelezea hii kesi kwa kina sana tafuta utapata flow yote vizuri..
 
Back
Top Bottom