Recent content by owiro1952

  1. O

    JamiiForums Tanzania Rais mstaafu wa kwanza wa south africa katika tetesi ya kifo leo

    uzushi au tueleweje?
  2. O

    JamiiForums Tanzania Front Page ya Gazeti la Uwazi

    kama huna jambo muhimu la kuchangia wazo afadhali uache kuchezea maisha ya watu! (viongozi wa dini wanayo maadili ya kiroho na wana upeo mkubwa zaidi kushinda mtu wa kawaida) Sio hekima wala heshima kukashifu viongozi wa dini au kuzua jambo ambalo huna uhakika nalo. Ndugu yangu, nafikiri una...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi wa Rangi wabisha hodi Tanzania

    ubaguzi wa kazi umeshamiri...
  4. O

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi wa Rangi wabisha hodi Tanzania

    mwenye hoja anamaanisha ubaguzi wa rangi au wa kazi?
  5. O

    JamiiForums Tanzania TANZIA Profesa Masuha wa UDSM afariki dunia

    Mungu ailaza roho yake mahali pema peponi, Amin
  6. O

    JamiiForums Tanzania Ijumaa Kuu: Baraza la Maaskofu Tanzania latoa tamko zito!

    tatizo ni kwa watanzania kuielewa katiba mpya inayoaandaliwa na wantanzania wenyewe (kama kweli inafanyika hivyo) kwa kina na kufanya yale yanayoleta maendeleo kwa nchi. Nina wasiwasi kama kweli watanzania wote wanaelewa katiba mpya inaandaliwa... kwa mfano watanzania wanaoishi vijijini...
  7. O

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Profesa Nkoma, hii Siasa kwenye Digitali Mwisho wake si Mzuri

    mchakato wa kuhamia digitali ni dunia nzima, hivyo afrika mashariki ilikuwa katika harakati hizo za kuhamia digitali ifikapo 2013/14, ijapokuwa tanzania imekuwa ya kwanza. Zoezi zima la kuhamia digitali ni zuri isipokuwa uhamasishaji kwa watanzania ulikuwa mfupi mno. utafiti haukufanyika vizuri...
  8. O

    JamiiForums Tanzania NHIF sasa ni zaidi ya fao la kujitoa!

    cha kushangaza ni kwamba kadi za nhif hazitumiki hospitali ya aga khan siku hizi, tatizo ni nini? mbona wakubwa wanapelekwa huko kwa kadi hizo hizo. ubaguzi gani huu jamani?
  9. O

    JamiiForums Tanzania Very touch orbutuary MSG - R.I.P Advocate Nyaga Mawalla

    Pole Albert, this is a crucial time to show the true love you had with the late Nyaga Mawalla. My the almight Lord give you strength at this time of mourning.
  10. O

    JamiiForums Tanzania Nehemia Msechu kwa nini asijiuzulu; kubomoka gorofa ya NHC

    kama mwananchi, naona nivyema mainjinia wa nhc wajiuzulu pamoja na mkurugenzi mkuu. Lakini kwa watanzania, hatuna utamaduni wa kung'atuka kwenye madaraka kama makosa yamefanyika. Hivi, kwa nini usitunze heshima yako na mapema kwa kuachia ngazi? Au unaona vitamu vitaliwa na wajanja? Hongera...
  11. O

    JamiiForums Tanzania Dk Slaa awatuhumu Usalama wa Taifa

    nakubaliana na Dk. Slaa kuwa wazi kunatoa dukuduku za wapekuzi kuhangaika na kusema ya uongo kwa wnananchi... hongera Dk Slaa...
  12. O

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, hapa Lwakatare alikuwa anamaanisha nini?

    upikaji wa habari sio mzuri, it is unethical and unprofessional in any given society! Ni nani mpikaji wa habari hizi za kudanganya wananchi? Any way, In God's Name every thing will be revealed...
Back
Top Bottom