Ubaguzi wa Rangi wabisha hodi Tanzania

Ubaguzi wa Rangi wabisha hodi Tanzania

Mlachake

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2009
Posts
4,466
Reaction score
4,694
Someni maandishi yaliyokolezwa rangi nyekundu. Tangazo hili nimelitoa Zoom Tanzania. 1353hrs

Credit Controller
Velocity Group Ltd

Date Listed:
Apr 11, 2013
Email Address: Click to Email
Phone: No Calls Please
Area: Dar Es Salaam
Application Deadline: Apr 30, 2013
Start Date: May 01, 2013


Position Description:
Credit Controller required for a long established Company in Dar es Salaam, having its branches in Arusha and growing yet further.
Qualification/Knowledge/Experience:-
- Candidates should be a graduate preferably specializing in accounts.
  • An experience of minimum 3-5 years in the finance section.
  • Age 30-40 years.
  • Well versed in use of computer ie: Excel and Tally will be clearly an advantage.
Preferably of Asian Origin with excellent communication skills in English and swahili.
- The job involves collection of dues, follow up with customers for payments, account reconciliation with the customers, controlling credit limit in terms of value and time of each debtor, advising on bad debts and if required initiating legal proceedings against defaulting parties

Application Instructions:
Candidates ready to take up ownership of work please email your CV with covering letter and photograph to careerwise2012@gmail.com.
Attractive salary package offered to the right candidate.
 
Hawa wamekuwa WAWAZI TUU kusema hiyo ASIAN ORIGIN. Makampuni mengi hasa yanayomilikiwa na hawa WAASIA kuna kazi sisi WEUSI kupata ni NEHI NEHI NEHI (hapona hapana hapana)......Ubaguzi wanao siku nyingi sema ni nafuu kwa hawa walioamua kutowapatia waombaji wasiokuwa na asili ya Asia matumaini wakati kiuhakika hata kama watakuwa na qualifications HAWATOPEWA KAZI HIII....

HERI YA ADUI UMJUAYE kuliko mnafiki anayejifanya yuko nawe karibu....
 
Hawa jamaa sio kabisa yaani wankuja nchini kwetu and still wanatuletea ubaguzi
no wonder sirikali haitapanua hata mdomo
 
Wahindi ni wabaguzi sana achilia mbali kuhusu hilo aliloweka hapo juu ukifanya kazi na mhindi tena asiyejua hata kazi yenyewe mshahara wake ni mara tano ya wewe mswahili. Wahindi ni wambea bila kujali jinsia tena nadhani wanaume ndiyo zaidi kuliko hata wanawake kwa umbea. Ni wachafu sana unahitaji kuwa kama nurse ambaye hukutana na lolote anapomhudumia mgonjwa.

Mwisho Wahindi ni wezi sana nchi hii inaibiwa sana na jamii hii ya kihindi. Tatizo letu sisi ni ile kutaka kujionyesha kuwa wajuaji. Wanaiba sana kupitia kukwepa kodi. Huwezi amini wanaiba mabilioni ya pesa.

Wahindi wengi wakishaingia hapa nchini hawatoki kwenda kwao wengi wanajificha humu humu ukiwaambia uhamiaji basi tambua umewapa mtaji watahongwa fedha nyingi na jamaa ataendelea kudunda uraiani bila hofu.
 
Kitu gani cha kushangaa hapo ingeandikwa Mchaga kwako usingeshangaa sio.Tena nafuu hao wameweka wazi kuna wengine hawasemi lakini vigezo hivyo vipo
 
thread kama hizi Ritz huwa hachangii labda ingesema wachaga ni wabaguzi angekuja mbio aseme ni chadema
 
Last edited by a moderator:
i dont believe this is happening dah, na hata hamna mtu anayewapeleka mahakamani
 
Binafsi hii kazi nimeifanya for the last 5 yrs so nina ma expirience ya kutosha tu. lakini siwezi omba
 
itakuwa wanamtafutia mwenzao vibali vya kufanyia kazi na kukaa Tanzania
 
Mbona hicho cha mtoto, je unajua kuwa kazi siku hizi zinatangazwa kidini?, unajua hilo?.
Soma hii uone,

From: "********" <************@tz.airtel.com>To: "&apos;************@yahoo.com&apos;" <************@yahoo.com>
Subject: NAFASI YA KAZI-HARAKA
Date: Mon, Jan 7, 2013 08:31



Asalam Aleikum,

Kuna nafasi ya kazi HR
Kama unamfahamu muislamu yeyote mwenye masters ya Human Resources
Mwambie apige namba-0713816101 Abdulbast Hasan

Spread news to other Muslims unaowajua.

Regards

 
Kama unataka kulia machozi nenda kwenye mahoteli makubwa .. Wageni wote ndio wameajiriwa huko hata kama una qualification labda barmeid ila managers wote ni wahindi na wazungu.. Nchi ishauzwa fff****
 
Back
Top Bottom