Recent content by Owdenburg Dr.G

  1. O

    Kishindo cha CHADEMA kuzidi kuiangamiza CCM

    kARIBUNI SANA CDM TUNAJALI WATANZANIA KWANZA MENGINE YANFUATA.
  2. O

    Angalizo hukumu jimbo la segerea.

    zamu yako prof.Juma tendea haki watanzania .
  3. O

    Maandamano Makubwa Kufanyika Kesho Kupinga Mahakama kutumiwa kisiasa

    maandamano hayana ulazima tuwaabishe kwenye kura tu!!
  4. O

    Swali gumu:Nani kuongoza kampeni za CCM Arusha mjini?

    Shukrani bucho kwa kujitambulisha wewe ni chama gani.Kwa mchango wangu ningeonelea vema mkafanya hivyo bila shaka mtashinda.
  5. O

    Shigela awataka polisi kuwaachia UVCCM jukumu la ulinzi dhidi ya CHADEMA

    Ukisitaajabu ya Musa utaona ya firauni.Kesho usishangae uwt ao wakaomba wapewe jukumu la ulinzi.Kweli nchi hii kila kitu ni ruksa.huu ni ulinzi shirikishi au mwaonaje wenzagu?
  6. O

    Kwanini Dr. Slaa anawasifia polisi?

    Hongereni polisi wa Arusha kwa kuanza kuwa na utu aliouona DR.Slaa lakini bado kazi ipo!!! Mnakaribia kuitwa polisi wa Tanzania.
  7. O

    Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema apelekwa mahabusu

    Pole viongozi wa Chadema.Kazi ni moja HAKUNA KULALA MPAKA KIELEWEKE!!
Back
Top Bottom