Shigela awataka polisi kuwaachia UVCCM jukumu la ulinzi dhidi ya CHADEMA

Katibu mkuu wa uvccm MARTIN SHIGELA, Amelitaka jeshi la polisi nchini kuwakabidhi uvccm jukumu la ulinzi. Akiongea na waandishi wa habari jana alisema wao kama umoja wa vijana ccm wamechoka na uvunjifu wa amani unaofanywa na chadema. Source magazeti ya leo.. My take: Hawa uvccm wanajiamini nn nao siku izi wanajeshi? Je hawaoni hata nguvu ya jeshi lao na mabomu ya machozi na maji yakuwasha ila wanazidiwa. Huyu shigela anaropoka kwa kutumia kifaa gani katika utashi wake?.

imethbitishwa utotoni hiki kibwana kilikuwa kujizi fresh
 
Hata mimi nina kadi ya UVCCM niliichukua nikiwa chuo, ila hadi sasa kadi ya BAVICHA au CDM sina, ila ushauri wangu kwa Shigella ni huu, kujidai kuwa mtapambana na CHADEMA ni uvivu wa kufikiri, labda useme mkapambane na walalahoi, je huko Mbeya hao vijana wanaopambana na polisi unadhani wametumwa na CHADEMA na hao wa UDSM nao ilikuwa ninini? kama hutumii akili jidanganyeni kuwa hao ni CHADEMA na kama huamini pitia kitaa na shati la kijani hapa Mbeya uone moto wake. Kusema mtapambana na CDM ni sawa na kupambana na kivuli. Matamko kama hayo si ya kutolea hadharani mnaendelea kukipoteza chama. Labda CHADEMA wanachokifanya ni kutoa elimu ya uraia ambayo kiukweli wanaelekea kufanikisha na hiyo elimu uzuri wake hata CDM wenyewe wakifanya vibaya itawarudi. Kwahiyo si suala la CDM hapa ni watu kupambana na mfumo kandamizi chini ya CCM
 
Hao vijana wapo wapi wa CCM watakaojitokeza kuja kupambana na Chadema,mbona hakuna kijana aliyepo CCM tofauti na vijana walioko masaki ambao baba zao ni mawaziri na makatibu.
 
Hamjamwelewa huyo dogo Shigela,alikua anamaanisha POLISICCM ndiyo UVCCM. Lakini nao wameanza kuchemsha kama tulivyosikia Mbeya jana.
 
Mtu MJINGA utamjua tu. Akiongea, anaongea UJINGA na akitenda, anatenda KIJINGA. Basi tuangalie shigela yupo katika kundi hilo? Kwa mawazo yake anaona polisi hawafanyi chochote juu ya ukandamizaji huu. Wameumiza na kuua lakini shigela anaona bado. Anataka achukua bunduki na kuua wanachadema wote. Halafu shigela, hao uvccm unaowategemea katika ulinzi wako wapi? Hao mnaowaambia wawaachie kazi hiyo ndio uvccm pekee. Naona bwana mdogo ni mgeni sana kitaa kwa sasa. Huna vijana katika jumuia yako, na hao ulionao ni mazee. Basi hao vijana wako wapeleke arusha jumatatu, wakalete fujo waone. Shigela malizia huo utamu, hautaupata tena ifikapo 2015.
 
ana mtindio wa ubongo, hao wanaowaua hawaridhiki nao tu?? Kwanza kakosa malezi ya pande mbili
 
Katibu mkuu wa uvccm MARTIN SHIGELA, Amelitaka jeshi la polisi nchini kuwakabidhi uvccm jukumu la ulinzi. Akiongea na waandishi wa habari jana alisema wao kama umoja wa vijana ccm wamechoka na uvunjifu wa amani unaofanywa na chadema. Source magazeti ya leo.. My take: Hawa uvccm wanajiamini nn nao siku izi wanajeshi? Je hawaoni hata nguvu ya jeshi lao na mabomu ya machozi na maji yakuwasha ila wanazidiwa. Huyu shigela anaropoka kwa kutumia kifaa gani katika utashi wake?.

Ni baada ya vijana hao kufuzu kule Igunga kwa kufanya mauaji? badala ya kutafuta chanzo cha kwanini kunakuwa na hali hiyo ya maandamano wanakimbilia kulaumu baadhi ya vyama pinzani, wanafunzi wa vyuo vikuu wanaodai stahili zao wameshawishiwa na chama kipi? wamachinga huko mbeya? Labda kama alikusudia kuwatukana polisi kiaina.
 
Huyu shigela hajui kuwa polisi karibu wanakaa upande wa raia maana hata wao wamechoka na maisha wanayoishi, na kwa taarifa yako CDM iko kila mahali, kuanzia kwa kiongozi wa shina hadi ikulu chadema iko. Hivi mlifikiri DR wa ukweli alishindwa kuita jaji na kuapishwa? mzee anahekima ya juu sana alituomba tutulie na tumpe muda, hivyo muda ukifika utaona jeshi la chadema ni kubwa kuliko unavyofikiri, wewe nenda kwa kaka yako mkamsubiri CAMEROON maana alishatuma mtangulizi wake ili awaandae na kaka yako ameshakubali.
 
huyu jamaa simkubali hata kidogo ni mropokaji ajabu,si mnakumbuka alivyomshambulia sumaye tena kwa lugha ya matusi sana,wakati wao ni wamoja kifisadi. na pia ndio alisimamia ule waraka uliokua mnamkashifu Dr wa ukweli
 
Katibu mkuu wa uvccm MARTIN SHIGELA, Amelitaka jeshi la polisi nchini kuwakabidhi uvccm jukumu la ulinzi. Akiongea na waandishi wa habari jana alisema wao kama umoja wa vijana ccm wamechoka na uvunjifu wa amani unaofanywa na chadema. Source magazeti ya leo.. My take: Hawa uvccm wanajiamini nn nao siku izi wanajeshi? Je hawaoni hata nguvu ya jeshi lao na mabomu ya machozi na maji yakuwasha ila wanazidiwa. Huyu shigela anaropoka kwa kutumia kifaa gani katika utashi wake?.
Jamaa ana kideri huyu.Naomba utapomuona umwambie kuwa CDM wanataka fursa kusimamia uvunjifu wa haki.
 
Cheit umenena sahihi maana hata mimi nina kadi ya shigela lakini ukinikata damu yangu ni mabadiliko yaani I say no to CCM move. Kwa bahati huyu bwana namfahamu akiwa mkuu wa Wilaya ya Lindi si dhani kama ana busara zaidi ya kuwa mtu wa kufuata upepo na kuangalia mwelekeo wa wakubwa wa CCM pasipo kutafakari kwa kujitegemea. na kingine si kijana sijui kwa nini yeye hakijamkuta kilichomkuta Masauni umri wake unaapproach 40-?

Well said mkuu, huyu mashavu martin shingella nami namfahamu toka kule Lindi alipokuwa mkuu wa wilaya. sura yake hakika niya kumasaburi saburi achilia mbali mashavu kama anamung'unya s*****a za mabasha zake wa uk!

shigella kapewa ukatibu kwa fadhila za kumzawadia mama salma ujumbe wa nec ccm pia mkuu wa mkoa wa sasa Sadic hivyo, msitegemee aongee point wakati kichwani kajaza mpunga wa usukumani.

kama vita anavijua kwanini alikimbia baada yakumpiga kwa mchundo yule kiongozi wa ccm-B aka Cuf kule Igunga?

yeye asubirie yale ya gaddafi hayako mbali yaja soon.
 
Ukisitaajabu ya Musa utaona ya firauni.Kesho usishangae uwt ao wakaomba wapewe jukumu la ulinzi.Kweli nchi hii kila kitu ni ruksa.huu ni ulinzi shirikishi au mwaonaje wenzagu?
 
Shigela hata wewe unasema hivyo? Siamini. Unataka Polisi walegeze ili ikitokea uvunjifu wa amani useme kwamba Serikali ni legelege?
 
Back
Top Bottom