Recent content by Overspoon

  1. O

    Madada wa dar na madera/vijora vya chui chui

    Mbona wanapendeza tu.Shida iko wapi.Kwani wewe ulitaka wavae nini mbona hamna shukrani nyie,wakivaa vusuruali,kelele,wakivaa hivi kelele ahhh waacheni.Endeleeni na mambo yenu.
  2. O

    Kwanini Rais Samia huwa anacheza vizuri halafu mambo yanapoelekea kukaa sawa anabutua?

    Huyu si ndiye alisema wapigwe tu.Watu wamekaa madarakani mpaka wamestaafu,wamekuwa wazee bado wanapewa vyeo vya ajabu ajabu.Wakati mwingine ni kudhalilisha cheo cha mtu.Waziri mkuu mstaafu (mzee) yupo kwenye kikosi,spika wa bunge mstaafu Anne (mzee)Mkiti Sensa ya makazi. Hawa wasomi waliosoma...
  3. O

    Kikosi kazi cha Rais cha kukusanya maoni ya Katiba Mpya

    Haya madaraka makubwa aliyopewa raisi kwenye katiba ndiyo inayompa kufanya haya bila kuzingatia maoni ya Watanzania.Ametuona wote mazuzu tu.Lakini itafika wakati tutasema sasa vatosha.Ikifikia hapo tutaelewana tu. Vikosi kazi hivi ni ulaji na matumizi mabaya ya kodi za Watanzania.Maoni ya...
  4. O

    CCM na Bunge tumkatae Halima Mdee Mahakamani, Kesi ya Mbowe ya ugaidi ilituacha utupu na ilitufunza

    Hebu tukaanze kusoma upya ya kingai,urio nawenzake.Haya twendeni.
  5. O

    Diwani wa Kawe aliyetoweka tangu Februari akutwa Tabata kwa Mwanamke

    Huyo hatukumchagua sisi.Mzee alimchongea huko.Sijui mzee alimwonaje kwani hata sisi tulishangaa.Wako wengi wa aina yake,Tusubiri wanakuja kwa group tena kwa kasi.
  6. O

    Ukatili na Unyama wa Mbunge wa CCM Singida Magharibi, Elibariki Kingu wailiza jamii

    Mbona huyu ni Mkristo,hiyo tabia karithi kutoka kwa nani.
  7. O

    Mbowe kwa kujua au kutokujua ameamua kuitumia Ibada ya Sadaka ya Shukrani kama sehemu ya mkutano wake wa siasa

    Hivi wewe si ungeenda hata kufanya usafi wa matundu ya vyoo vya watoto wa shule ya msingi kuliko mudo uliopoteza kuandika huu uchafu. Hujielewi. wewe huna tofauti na wale wasiojua PGO ni kitu gani.Jinga sana.
  8. O

    Mbowe: Utawala wa Magufuli uliwatesa sana watu wa Kilimanjaro na Arusha!

    Nadhani kitu usichokijua usikimbilie kucomment au kushare.Ni vizuri kukaa kimya kwa sababu hujui na hakuna atakayekuita mjinga. Aliyefanyiwa ndiye anayesema, wewe unasema hakufanyiwa.Na wapo wengi Arusha na Kilimanjaro walioteswa na kunyanganywa mali zao na kutendewa vitu vya ajabu na wengine...
  9. O

    Chato: Yaliyojiri katika Maadhimisho ya mwaka 1 wa kifo cha Hayati Magufuli. Kasala, tusimamie ukweli na haki. Samia kuendeleza Mema

    Kufungua daftari la Watanzania wenzetu wengi waliokimbia nchini kuhofia maisha yao na familia zao na kwenda kuishi kwa kuombaomba wakati yeye na viongozi wengine wakiongopa kuwa Tanzania kuna Amani,Demokrasia n.k Aibu sana
  10. O

    Shule za siku hizi hatuendi kutoa ujinga kama zamani

    Usidanganye.Acha watoto waende shule.Ila tulie na waalimu.Ninajua bila mwalimu huwezi kwenda popote kwani mwalimu ndiye wa kwanza kutoa kutu kwenye akili zetu. Nilikuwa mara nyingi sana nilikataa katu nilipoambiwa kuna wanafunzi wamejiunga kidato cha kwanza bila kujua kusoma na kuandika.Hili...
  11. O

    Mbunge wa Hai (CCM) Saasisha Mafuwe adai kumtumia salamu Mbowe, asema wao wamemuomba Mungu ili awasamehe

    Huyu ni mnafiki.Siku zote mheshimiwa akiwa mahabusu, alinyamaa kana kwamba hayupo.Leo hii anajifanya rafiki.Namshauri aendelee kukaaa kimya.
Back
Top Bottom