Recent content by overblessing

  1. O

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Kanisa kufungisha ndoa ya Joti huku akiwa amenyoa mtindo wa kihuni ni sahihi?

    Kama ni hivyo si angeacha mwili nyumbani akaenda na roho kanisani?
  2. O

    JamiiForums Tanzania Fursa kwa vijana hakuna kiingilio!! Chakula na usafiri bureee

    Dodoma lini ?? mnasahau makao makuu ya nchi??
  3. O

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume wa Dodoma tu!

    Thanx !
  4. O

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume wa Dodoma tu!

    sijasema lazima awe nayo nimesema ni vyema awe nayo! hiko ndio kimekukera? mbona bachelor kawaida sana nowdays!
  5. O

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume wa Dodoma tu!

    Sijasema lazima awe na bachelor my brother, nimesema ni vyema akawa nayo, hiko ndio kilichokukea? mbona bachelor sio kitu cha ajabu nowdays!
  6. O

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume wa Dodoma tu!

    Sorry, kama kuna mtu amekwaza sijamdharau mtu na baona watu wamenishambulia buree sijaona kosa langu, yes am older now badala ya kunishambulia kwanini usiulize inawezekana kuna mambo yamesababisha,and not all women wanaolewa na hiyo miaka 24-27,naona watu wanatukana sio hivyo mnavyofikiria wala...
  7. O

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume wa Dodoma tu!

    Mimi ni mdada wa umri wa miaka 29,naishi Dodoma mjini, natafuta mwanaume ambaye makazi yake ya kudumu ni Dodoma ili tufanye maisha i really need a family now! . Mimi ni mkristo and I am a committed christian, nimeajiriwa ,elimu yangu ni bachelor degree for now, Ningependa mwanaume mkristo pia...
  8. O

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Long Distance marriage

    Yes this year ndio anataka tuanze process, hata yeye hapendi hilo eneo analofanyia kazi anatamani kweli kubadilisha kazi
  9. O

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Long Distance marriage

    you are very wrong! ndoa sio fasheni ni agano na kuna mambo mengi humo ndani, na pia mimi nilikuwa natafuta kazi kwanza familia niliyotoka ni ya kawaida my parents wamenisomesha they are old now wamestaafu !niliona ni muhimu nipate kazi kwanza mengine yatufuata nitakuwa comfortable na huyo...
  10. O

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Long Distance marriage

    miaka miwili sasa
  11. O

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Long Distance marriage

    I wish ningewahi zaidi but unajua no way mwanamke unaweza kulazimisha kuolewa,what if hakuna mtu anakwambia kukuoa, au wanaotaka kukuoa unaona hutaweza kuishi nao! so it is beyond my ability only God can make it happen ! kwaakili na ujuzi wetu hatuwezi Mungu peke yake ndiye anweza.
  12. O

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Long Distance marriage

    Duuh pole mwaya
  13. O

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Long Distance marriage

    Yes, kila mtu amepangiwa muda wa kuoa na kuolewa kwa wakati wake na Mungu, unaweza ukapanga ratiba zako zisikubali
  14. O

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Long Distance marriage

    I 'm old enough 29yrs
  15. O

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Long Distance marriage

    Ahsante , hata mimi ndio maana nashindwa kuamua
Back
Top Bottom