Recent content by outshiner

  1. O

    JamiiForums Tanzania Ushahidi wa kesi ya ufisadi wa Richmond wakamilika, wahusika kupelekwa mahakamani

    Mwizi,Babaako ndo mwizi....riz 1
  2. O

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu CCM inakutana asubuhi ya leo, punguzeni presha

    Hakika Lowassa ndiye Rais wa awamu ya tano
  3. O

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye kuongea na waandishi wa Habari

    Safiiii
  4. O

    JamiiForums Tanzania Chaguo la CCM ni Sumaye

    Hivi Lowassa kawafanyaje?. Mbona Membe na wenzio mnamuogopa?.
  5. O

    JamiiForums Tanzania Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

    Team Membe katika ubora wako.Lowassa yupo katika tano bora.Nilikuwepo katika kikao husika.ukitaka nitakueleza kila kitu kilichozungumzwa
  6. O

    JamiiForums Tanzania Kuishi na mwanaume mlevi ni mzigo

    Nimeingia home hapa,naoga, napiga mswaki fresh,nisimkwaze mwenzangu. Na mwezangu huniambia Nokia's nimekunywa responsibly huwa nakuwa mtamu.Macho yangu hulegea kwa mahaba.Jamani Mimi siachi pombe.
  7. O

    JamiiForums Tanzania Kuishi na mwanaume mlevi ni mzigo

    Mimi sitaacha pombe,maana haijawahi kunikosea.Mimi hunywa ijumaa jioni na jumamosi tu. Jumapili hupumzika na familia baada ya kutoka kanisani. Ninywapo hujisikia raha sana. Sigombani,situkani. Bali huchekesha sana wenzangu. Maendeleo nyumbani naleta.nasomesha watoto vizuri,kazini najituma,hata...
  8. O

    JamiiForums Tanzania Unaikumbuka sababu ya kuachana na mpenzi wako?

    Marengo hakuna ss hv
  9. O

    JamiiForums Tanzania Lowasa na marafiki wake wamwaga billion 7 dodoma lengo wajumbe wa nec.

    Haya ni making.Vyombo vya dola vipo,si wawakamate?
  10. O

    JamiiForums Tanzania Nilisafiri na shemeji, kilichotokea naomba Mungu kaka asijue

    Ulijiskiaje?,bado una hamu ya kuendelea?....subiri matokeo yake
  11. O

    JamiiForums Tanzania Msiudanganye umma kihivyo kuwa mzee Mkapa na mzee Msekwa wanawaunga mkono

    CCM tujiandae kuwa wapinzani.Muda umefika.Kosa kubwa la chama ni kutokumuadhibu huyo wanayedai ni fisadi mapema.Hata kipindi cha kuvua gamba walimuacha. Wamuache na awe Rais,
  12. O

    JamiiForums Tanzania Chaka-Chaka: Nyerere is the father of the African Continent

    Huyu mwanamke hazeeki aisee.Bado mbichi licha kuwa na umri mkubwa.
Back
Top Bottom