Joshua Hagai
Senior Member
- Jul 8, 2015
- 111
- 20
Jana DR JAKAYA MRISHO KIKWETE alionyesha dhahiri kuwa atakaye peperusha bendera ya CCM urais katika uchaguzi mkuu Oct ni Mh Sumaye.
Spika Anne Makinda alipokuwa akiwatambulisha wageni Mh Sumaye alimpungia mkono kwa furaha ya ajabu kwa tabasamu zito.
Naona Mr Lowassa hata hamuwazi.
Mh Sumaye chaguo la CCM.
Tumaini jipya UKAWA.
Spika Anne Makinda alipokuwa akiwatambulisha wageni Mh Sumaye alimpungia mkono kwa furaha ya ajabu kwa tabasamu zito.
Naona Mr Lowassa hata hamuwazi.
Mh Sumaye chaguo la CCM.
Tumaini jipya UKAWA.