Recent content by Outcrop Rock

  1. O

    JamiiForums Tanzania Players who never realised their full potential

    Mo Ibrahim
  2. O

    JamiiForums Tanzania Yanga yaweka Bango tena baada ya kuwafunga Simba 7-2 kwa msimu 2023/2024

    You are out of question..
  3. O

    JamiiForums Tanzania Yanga yaweka Bango tena baada ya kuwafunga Simba 7-2 kwa msimu 2023/2024

    Kama ligi haichezwi Kwa head to head kwann head to head ni kigezo kimoja wapo kumpata bingwa wa ligi ikiwa vigezo vingine vyote team zinazowania ubingwa zimelingana??
  4. O

    JamiiForums Tanzania CAF kweli mmekosa siku Maalum ya Matches za CAF Champions League? Hadi Leo Matches zenu zinagongana na Moja ya Derby kubwa Afrika.

    Walaumu bodi ya ligi ambao walipeleka mbele huu mchezo wa Yanga v Simba maana ilibidi uwe umepigwa tangu tar 14..
  5. O

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwita kaandika utaratibu wa kikatiba unaotakiwa kufuatwa pale Rais akiugua kimwili au kiakili

    Waliosoma Political Science kuna concept inaitwa "Noble lie" inasema "Any leader must lie for the benefits of the state, if a leader lie it's not a sin but if an individual lie it's a sin.. Siyo kila Jambo ni lazima liwekwe wazi especially kipindi ambacho nchi ipo kwenye taharuki kubwa Sana..
  6. O

    JamiiForums Tanzania Kitabu Cha Mwanafunzi: Jifunze kusoma kwa hatua

    Ahly walikuwa wnashiriki klabu bingwa dunia.. so mechi nyingi za ligi ziliwakuta wakiwa huko.. hata game Yao na Cr belouizdad ilikuwa kiporo sababu hiyo
  7. O

    JamiiForums Tanzania Nani yuko nyuma ya Mkataba wa TFF na GSM, kwanini TFF wanazuia usijadiliwe wala kuhojiwa?

    1, Azam sports federation cup inadhaminiwa na Azam, na huyohuyo Azam anamiliki timu inayoshiriki hiyo michuano 2. Ligi kuu NBC moja ya mdhamini wake ni Azam.. na Azam haohao wanamiliki timu, mbona hatuskii malalamiko yoyote..?? Sidhani kama kudhamini teams kuna shida, shida ni kumiliki team...
  8. O

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa Droo Robo Fainali: Yanga vs Mamelodi; Simba vs Al Ahyl

    Luanda na Es Tunis hawawezi kutana, walikuwa kundi 1
  9. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini siri ya Wanaume kutangulia kufa na kuacha Wake zao wajane?

    Mambo ya Archaeology hayo mkuu, kuna kina Australopithecus boisee, ororin tugenensis, sahelanthropus tchadensis, homo habilies, homo sapiens, na wengine wengi...
  10. O

    JamiiForums Tanzania Yanga hii hata Al Ahly ingemfunga nyumbani kwake

    Fact
  11. O

    JamiiForums Tanzania Safu ya ulinzi wa timu inaundwa na wachezaji wangapi?

    Na wanasemaga kipa nae ni mchezaji lakini katika formation zote za mpira huwa sioni kipa akitajwa, utaskia 4:4:2, 4:2:3:1 au 4:14:1 na nyingine nyingi.. Swali langu kwanini wasiwe wanaanza na 1:4:4:2 au 1: 4:3:3:1 au kwasababu yenyewe ni constant kwamba kipa lazima awe mmoja..?? Magolie...
  12. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

    Mbona kwenye Bible wanasema dhambi zako Zita athiri hadi kizazi chako cha 4??..... Madhara tunayoyapata Leo ni kutokana na dhambi ya Adam na Hawa, kwann MUNGU hakutoa adhabu Kwa Wale wawili tu??
  13. O

    JamiiForums Tanzania Aden Rage kumshauri Try Again na Mangungu kudai Tsh. Milioni 100 za bango la Yanga kuifunga Simba 5

    Nahs baada ya hiyo kesi, Yanga nao watafungua kesi Kwa Simba kutumia logo Yao kutangazia biashara za mbet na kampuni za mo.. maana nao walipost kwenye page Yao official ya insta
  14. O

    JamiiForums Tanzania BMT yasimamisha Uchaguzi wa TEFA

    Azam FC ipo TEMEKE
  15. O

    JamiiForums Tanzania Wasomi na Wanazuoni Tanzania watoa Tamko kali kulaani Ukoloni na Ukaburu mkongwe wa Israel kwa Wapalestina

    Hata wao walifanya occupation, kwahyo acha wawe occupied
Back
Top Bottom