Recent content by ourzbakari

  1. ourzbakari

    JamiiForums Tanzania Kwa waliokojoa kitandani tu!!

    Kwahiyo hiyo picha umeweka hapo ndicho kinachotumika kukojoa pekeake hamna kingine au uliamua tu kuzalilisha
  2. ourzbakari

    JamiiForums Tanzania Nauza asali mbichi toka Tabora ya nyuki wadogo na nyuki wakubwa

    Sawa lakini matangazo hayajatimia number za simu hujaweka sasa tutakutafutaje wala hujasema unapatkana wapu
  3. ourzbakari

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba na Elibariki Kingu, hata undugu kwenu kwa Lissu umekufa?

    Usipoangalia nao wamoja wao
  4. ourzbakari

    JamiiForums Tanzania Tengeneza jini la kulinda shamba lako au nyumba kwa kutumia kuku mwekundu

    Ndio mnavyosemaga hivyo
  5. ourzbakari

    JamiiForums Tanzania Tengeneza jini la kulinda shamba lako au nyumba kwa kutumia kuku mwekundu

    Si ndio kambi ya wachawi hiyo unazani watapata wapi kwenye kitabu cha hisabati
  6. ourzbakari

    JamiiForums Tanzania Dr. Mwakyembe: Sikumhoji Lowassa kwa sababu ushahidi dhidi yake ulikuwa unajitosheleza!

    Wakujipendekeza ndio hao
  7. ourzbakari

    JamiiForums Tanzania Rich Mavoko upo??Naamini unajutia ulichofanya!!

    Kiukweli nilijua tu kuwa anakoenda kutamuuwa kimuziki kwani alipokuwa pekee alikuwa akifanya vema sana lakini inaonekana hakuwa anajiamini
  8. ourzbakari

    JamiiForums Tanzania Unconfirmed News: Navy Seals Tayari Wamefika Peninsula Ya Korea Jana Usiku

    We umekunywa uji wa ulezi au
  9. ourzbakari

    JamiiForums Tanzania Unconfirmed News: Navy Seals Tayari Wamefika Peninsula Ya Korea Jana Usiku

    Hata kama lakino bado mmarecani hana siraha za kumfumua corea kama wanazo wasingetia mashaka kumkataza mwenzao asitumie nyuklia na mwenzie amesema haachi hata siraha moja zote atatumia
  10. ourzbakari

    JamiiForums Tanzania Unconfirmed News: Navy Seals Tayari Wamefika Peninsula Ya Korea Jana Usiku

    Waambie hao naona wanaongea ongea tu
  11. ourzbakari

    JamiiForums Tanzania Unconfirmed News: Navy Seals Tayari Wamefika Peninsula Ya Korea Jana Usiku

    Kwanza uongo mtupu ulioongea hapa osama ustake kutudanganya kuwa hicho kikosi ndio kilienda na kummaliza unafki mtupu kwanini hawajaonyesha video yake wanatuonyesha mapicha tu hakuna mtt humu jf na kama hao america wako vema kivita kweli mwenzie si amempa go ahead kuwa wapo tayari kwa vita muda...
  12. ourzbakari

    JamiiForums Tanzania Nani Comedian/Mchekeshaji mzuri duniani?

    Ni kweli kabisa nakuunga mkono
  13. ourzbakari

    JamiiForums Tanzania Nani Comedian/Mchekeshaji mzuri duniani?

    Ameiga huyo staili za charle chaplin hana zake
  14. ourzbakari

    JamiiForums Tanzania Nani Comedian/Mchekeshaji mzuri duniani?

    Nakuunga mkono hakuna kama huyo na bado hajatokea wala kukaribia
Back
Top Bottom