Shida yao, wanadhani ngorongoro niya kwao, Hiyo hifadhi ni mali ya Watanzania. WAONDOKE BHANA, pia shida kubwa ya utaratibu wa ajira ndiyo unaomfanya Dr Manongi apate wapate wakati mgumu katika kutekeleza hili. Asilimia 80 ya waajira ni wazawa, sasa kila mpango au mikakati ya kiutawala...
Wewe utakuwa na vina saba vya hawa jamaa wanaoitwa nshomile hadi nebwa yashoma, nikisema Come...inakuja, nikisema go... inakwenda. Haya bhana karibu tuendelee na ugonjwa wetu wa Sizonal influenza
Kwani sheria/muongozo wa serikali juu ya uagizaji bidhaa mfano sukari unasemaje?. Na kitu kizito kilichompiga kichwani juu ya sukari huyo waziri unadhani kama ni wewe ungesemaje?
kuendelea kula matapishi yako au kuwa mwamba kama Dr Slaa wa kutokulamba matapishi. Au bora liende watoto wangu...
Kwani Mr DJ chanzo cha kesi yake nini?? achilia mbali Mbowe kuwa GAIDI?? Kwa sasa tamanio la watz ni katiba mpya. So kama mwanafunzi anaruhusiwa kupigwa mimba hii ni kwamba anaruhusiwa kutoka kwa mume wake aende darasani. Kwa mantiki hiyo aliyembebesha mimba anawajibu wa kulea mtoto wakati...
Kwa hiyo wewe unashabikia mwanao asome na wamama darasa la moja la STD IV?? anamshauri nini wakiwa wote pale darasani?. Kwa hiyo umefurahia kuwa gegeda wanafunzi ukiwaelimisha kuwa mimba siyo kikwazo cha kutoendelea na masomo??
Itapendeza na upande wa pili wa mahakama wafute adhabu ya kifungo...
Aisee, hili sasa nalo nikituko. Ina maana yale maagizo ya namba moja kwa wakuu wa mikoa kuhakikisha hakuna kilimo cha vinyungu kwa kila kata wamegoma kutekeleza?? Au hana kazi za kufanya?? awape muda wa wiki mbili apewe taarifa kama kuna mataikoon yamegoma kunyofoa mirija mitoni yanaendelea...
kavulata: Wewe inawezekana unasema kinyume chake< Heri masikini mwenye afya kuliko tajiri mgonjwa)= sasa huyo masikini aliyekuwa anadamka alfajiri anapika vitumbua ili auze apate riziki ya yeye na wanae, hiyo afya atapata wapi?. Labda ungesema wakati tajiri anameng'enya chakula kwa utumbo...
Na bado mtakanyagana sana awamu hii, inaonyesha muuliza swali na wewe wote ni zero brain. Hujui kama iwapo kuna kiongozi fulani iwapo anatumia madaraka yake kuwanyanyasa watu kingono hawezi kuchunguzwa kwa kupitia mfumo wa mitandao?
Whatsaps--picha, simba mbovu sana (SMS), voice call n.k...
Tatizo lako hilo genge lenu mtu akipiga chafya tuu mnaanza kurukaruka na kuganyagana, subilini siku ya majumuisho ndiyo hamtajua wakati mnajifanya mnajua, Mr DJ siyo malaika ni Gaidi Over
Sasa wewe, iwapo mtu na genge lake wanataka kupindua nchi, raia mwema akatoa siri na achilia mbali kampuni zikagundua kuna mpango wa kufanya vitendo viovu. Ina maana hiyo kampuni ya mawasiliano ikae kimya kisa eti wana linda siri za mteja?? kweli nyumbu mumechanganyikiwa. Mr DJ ni gaidi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.