Recent content by othiambo

  1. othiambo

    JamiiForums Tanzania Kalala kweli..🤣🤣🤣🤣🤣

    maneno uumba
  2. othiambo

    JamiiForums Tanzania Mkeo simpati, nataka kuja kuwasalimia watoto wangu. Tafadhari mwambie awalete kesho saa 3 asubuhi Matayo Hoteli

    haya mambo ya kuoa au kuolewa na mtu mwenye watoto nawewe ukawa mlezi wa hao watoto ihali mama/baba yao yupo na maisha kwingine ni mtihani kama mtihani mwingine.
  3. othiambo

    JamiiForums Tanzania KERO Mchezaji wa Simba anatumia jina langu, ananiambia nikashtaki popote

    umebugi mistep mwenyewe mwenyewe mwenzio...
  4. othiambo

    JamiiForums Tanzania Kama umeoa au haujaoa take this

    una nondo kali ila kwa karne hii wanawake nao wanatahadharishwa hayohayo .
  5. othiambo

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: "Hatuwezi kuwa nchi inaendeshwa kama idara ya 'Fire'

    tunamkaribishe aje ajiaibishe tu maana na yeye katokea hukohuko.
  6. othiambo

    JamiiForums Tanzania Huyu Jamaa Ana Sifa Zote za Kuwa PM 2025-2030

    si wamemuandaa wenyewe lakini, maana anavyeo vigeni sana.
  7. othiambo

    JamiiForums Tanzania DRC Congo na Rwanda Kusaini Mkataba wa amani leo

    Endeleeni tu msiwapatanishe... US na washirika wake vichwa vinapata moto wanaona bora wapumzishe kuhu ili wajipange na IRAN gharama ni kubwa.
  8. othiambo

    JamiiForums Tanzania Je moyo wako upo salama? Fahamu kuhusu heart failure (kushindwa kwa moyo)

    shukran vipi taratibu zao si ngumu hawana gharama ya kutisha
  9. othiambo

    JamiiForums Tanzania Je moyo wako upo salama? Fahamu kuhusu heart failure (kushindwa kwa moyo)

    shukran ila Wallah mimi nina hiii shida mwaka 2019 nilienda hospital nikaambiwa niko vizuri , cha ajabu sasa nikifanya kazi ngumu , nikikaa mda bila kunywa maji au kula nahisi mwili mchovu na moyo unapiga kwa mbali sna ..ikitokea nikayatekeleza hayo kama kupumzika kunywa maji sana ndio kama...
  10. othiambo

    JamiiForums Tanzania Chid Benz amekua 'Pande la Mtu', tazama akitumbuiza kwenye siku ya kupambana na madawa ya Kulevya

    M/MUNGU amsimamie yeye pekee ndio anajua nini kilitokea,,dua hii namuombea na mwanangu wa kiume kwani duniani kuna waleaji na waongozaji wa wenzao sasa inategemeana unaongozwa vipi.
  11. othiambo

    JamiiForums Tanzania Wanachama Mil 13 wa CCM anaowasema Mwenyekiti Samia ndio hawa?

    Halafu huko mpoto anaimba mama wa taifa hatumdai ila yeye anatudai sisi
  12. othiambo

    JamiiForums Tanzania Wahariri na waandishi wa habari wasusia shughuli za CHADEMA

    tusipo zipata kwa wahadishi wa habari tutazipata kwa wambea kama kina mange na lokole...wasuse tu
Back
Top Bottom