Recent content by osuvat simon

  1. O

    Horn of Africa Relief Aid (HOARA) office zake ziko wapi hapa Tanzania?

    ndugu zangu hili suala la horn of africa linaonekana kuwa sugu sasa kwani jana nlipata e-mail yao na maelezo mliyoyatoa kwenye mada hii yanafana na walichoniambia... eti ofisi zao zipo mwanza na utaweza kufanya kazi katika taifa lolote then wanakuuliza una working permit ukisema hapana...
  2. O

    Je mnawajua hawa?

    Dear Applicant, Ref: Call for Training Registration and Participation Confirmation Stage On behalf of our organization, I am obliged to inform you that after desk review of your cv and application documents submitted for the advertised volunteer job position of Project Field Officers under...
  3. O

    Ukweli kuhusu YAP-Tanzania

    I am very proud to visit this blog today, NILIPATA EMAIL WANATKA NILIPIE VIA MPESA/TIGO PESA, Cha ajabu wanasema usipe zile namba.. kwa logic ya kawaida nikajiuliza kama wanaweza kukulipa zaidi ya M1.5 kwa mwezi kama posho kwa nini washindwe kutoa training bure? It may be the reason for its name...
  4. O

    Utumishi imeokoa maisha yangu

    Kwanza namshukuru baba mungu mpendwa kwa fadhiri zake anazonipa...Nilifanya interview Utumishi kwa mala ya kwanza tarehe 10/06 pale mwalimu nyerere . Baada ya hapo nikaitwa kwa usaili wa mazungumzo. Hatimae Leo nimeitwa kazini. Napenda kuwatia moyo wote ambao bado hamjapata ajira kuwa...
  5. O

    Una gari au biashara msaada wako ni muhimu tafadhali,

    WALIOTIMULIWA NI MADEREVA WOTE? coz ninavyojua kipindi cha labour redundancy wanaoadhirika ni wenye mapungufu katika utendaji... je ulikuwa mwajibikaji kweli?
  6. O

    VSO International wamenipa pa kuanzia

    Songa mbele mwana... Bigup xana start small but think big... Achana na rumus, elfu 35 yeye kajulia wapi na kama angeitwa yeye jery kwani asingeenda?
  7. O

    Nimfanyeje huyu mzee?

    jipange.... we wa dagaa usilazimishe kula samaki
  8. O

    Natafuta intenship nifanye ili nipate uzoefu

    hayo ni makosa madogomadogo2 yanayosababishwa na msongo wa mawazo kutokana na changamoto zinazonikabili ila vizuri kwa uelewa wako.... karibu uendelee kuchangia mada
  9. O

    Natafuta intenship nifanye ili nipate uzoefu

    Nina taaluma ya uchumi na takwimu ya chuo kikuu Mlimani, ndugu wanajamii forum hakika nimeamini elimu si madesa tu. kipindi nikiwa nasoma nlitumia muda mwingi na juhudi nyingi ili niweze kufaulu kama wazazi wangu walivyoniasia ''mwanangu nenda shule na ufaulu vizuri ili uweze kupata kazi nzuri''...
  10. O

    Nani anasema CHADEMA ni Imara kiasi Hicho !?

    CHAMA CHA MOB POLITICS? uimara utatoka wap????.... chama chenye mfumo wa anachy?????..... kamwe hatutafika 2angalie chama chenye mfumo wa DEVELOPMENTAL DEMOCRATIC STATE..... hakuna chama imara kama CCM, huo upepo2 utavuma na utapita... NCCR leo hi wako wap????
  11. O

    kusoma masters HEALTH MONITORING & EVALUATION.

    nami nimeiona ila bado hawajaweka ufafanuzi kamili na pia hi ni program ya kusoma online... then kuhusiana na ajira sokjon cku zote knowledge ya monitoring na evaluation inahitajika sana hususani katika mashirika makubwa ya misaada kama amref na mengine mengi
  12. O

    Acsee 2013 results

    keep trustng hop advanc students were grown enough and they what they hv dd there.. Copard 2those form4 smtmz i cal them kids coz they were not grown enough.. We hop the results wl b gud 2we na subira
Back
Top Bottom