VSO International wamenipa pa kuanzia

VSO International wamenipa pa kuanzia

Songa mbele mwana... Bigup xana start small but think big... Achana na rumus, elfu 35 yeye kajulia wapi na kama angeitwa yeye jery kwani asingeenda?
 
imekula kwako....kwa wiki elfu 35 na unakaa hosthouse...alafu miezi yako mitatu ikisha na ww habari yako imeisha amna ndoto za ajira pale....wanatoa chance mara moj kwa kila m2

Acha kumkatisha tamaa mwenzio!

Hivi kwanini watu wengine huwa mna vitu negative sana? Hivi unategemea uzoefu umkute nyumbani amekaa tu? Wacha hizo bwana, mwenzetu ndo ametoka hivyo potelea mbali hiyo elfu 35 kwa wiki. Hata kama ingekuwa bure mimi ningemshauri aende tu! Kuna jamaa yangu alichukuliwa na hawa jamaa kwa muda, matokeo yake ndo wakawa wamemfungulia njia ya kufanya kazi kwenye UN agencies mpaka hivi ninavyosema jamaa anapiga kazi WFP na kabla ya hapo alikuwa UNDP!! Yungsteval, usirudi nyuma songambele mwana
 
Acha kumkatisha tamaa
mwenzio!

Hivi kwanini watu wengine huwa mna vitu negative sana? Hivi unategemea
uzoefu umkute nyumbani amekaa tu? Wacha hizo bwana, mwenzetu ndo ametoka
hivyo potelea mbali hiyo elfu 35 kwa wiki. Hata kama ingekuwa bure mimi
ningemshauri aende tu! Kuna jamaa yangu alichukuliwa na hawa jamaa kwa
muda, matokeo yake ndo wakawa wamemfungulia njia ya kufanya kazi kwenye
UN agencies mpaka hivi ninavyosema jamaa anapiga kazi WFP na kabla ya
hapo alikuwa UNDP!! Yungsteval, usirudi nyuma songambele mwana

asanteni sana wakuu.....mi nasonga mbele......
 
imekula kwako....kwa wiki elfu 35 na unakaa hosthouse...alafu miezi yako mitatu ikisha na ww habari yako imeisha amna ndoto za ajira pale....wanatoa chance mara moj kwa kila m2

Usiish kwa mawazo hasi always focus on positive...
 
Back
Top Bottom