Recent content by osu2014

  1. osu2014

    Jinsi Mark Zuckerberg alivyopagawa na vazi la Mke wa Jeff Bezos jana.

    Wakati wa sherehe ya kuapishwa kwa Rais Donald Trump tarehe 20 Januari 2025, tukio lililomhusisha Mark Zuckerberg, Mkurugenzi Mtendaji wa Meta (zamani Facebook), lilivutia sana. Video moja ilimuonyesha Zuckerberg akitazama kifua cha Lauren Sánchez, mchumba wa mwanzilishi wa Amazon, Jeff Bezos...
  2. osu2014

    Uliwahi kusikia nini kuhusu madereva wa malori?

    1. Wanamademu kila kituo, 2. Wanakula mirungi balaa… 3. Leseni wanapata kwa kutoa chochote.
  3. osu2014

    Israel na Hamas wakubali kusitisha mapigano eneo la Gaza

    Muda mchache uliopita taarifa kubwa kwenye vyombo vya habari vyote vya Kimataifa Aljazeera, CNN na nk ni juu ya Makubaliano ya Kusitisha Mapigano kati ya Israel na Hamas. Kufikiwa kwa makubaliano haya kumefanya wakaazi wa Gaza kushangilia na kuandamana barabarani kwa furaha na vifijo. Israel...
  4. osu2014

    Fanya haya unapokuwa hatarini kutekwa?

    Wakuu, Mtaalan kumekuwa na story nyingi sana za watu kutekwa.Wengine wakiwa marafiki wengine ndugu na sisi wengine kusikia kutoka kwa vyombo vya habari kwamba yule au huyu katekwa au hajulikani alipo. Katika pita pita zangu za Maisha hapa duniani niliwahi kufundishwa kanuni nyingi za kujilinda...
  5. osu2014

    Ni akili ama matope ? Unasomesha mtoto shule za ada kubwa anaishia kuwa Winga , sababu wewe mzazi huna kampuni wala biashara yoyote ya kumrithisha

    Hapo Mzazi hana kosa…Kosa ni la aliyesomeshwa na akatoka na ujuzi wa Uwinga…Trust me hata ukimsaidia atarudi kuwa winga.
  6. osu2014

    Mke wangu amenipiga picha za makalio na kuzisave kwenye gallery

    Muibie hiyo simu…Alafu na wewe ukilala ulale na hata kaboksa…Kuna ajali kiongozi.
  7. osu2014

    Dar: Dunstan Daudi Mutajura adaiwa kutekwa eneo la Buza

    Jana niliona hizi taarifa nikasema nianze kuchimba kumtafuta huyu bwana…Kwanza Hakuna alot of information kumuhusu ila nikaenda sehemu ingine nikapata kuwa aliwahi kuteuliwa mwaka kama Non executive director kuiwakilisha GOT kwenye mradi wa uchumbaji madini Mahenge. CV yake wakati anateuliwa ni...
  8. osu2014

    Dar: Dunstan Daudi Mutajura adaiwa kutekwa eneo la Buza

    Jana niliona hizi taarifa nikasema nianze kuchimba kumtafuta huyu bwana…Kwanza Hakuna alot of information kumuhusu ila nikaenda sehemu ingine nikapata kuwa aliwahi kuteuliwa mwaka 2022 kama Non executive director kuiwakilisha GOT kwenye mradi wa uchumbaji madini Mahenge. CV yake wakati...
  9. osu2014

    Team le mutuzi watupiana maneno na team ukweli na uwazi

    Duniani bado kuna matusi siyajui mweee "tutokee hapa na jasho la michicha pori" nimecheka hadi baas
  10. osu2014

    Nimwambie au ninyamaze? Nimechanganyikiwa

    Mimi ushauri wangu mwambie huyo shemeji yako aache hiyo tabia la sivyo utamwambia mke wake ambaye ni mdogo wako hii itasaidia kutokuharibu trust kat yao,lakin hii n kama una nguvu ya kumfuata face to face.
  11. osu2014

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

    Lisu anastahili kupewa muda zaidi kawafungua macho weengi hata kificho nimeona anaanza kusoma katiba ya zanzibar...Asante sana Lissu.
  12. osu2014

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumamosi, Tarehe 12 Aprili 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

    Wadau hivi hakuna link ya Tv chanel nyingine wanayoonesha matangazo ya moja kwa moja ya bunge maalumu la katiba?zaidi ya TBc1?
Back
Top Bottom