Assalaam alleikhu ndugu zangu..Matumaini mtakuwa hamjambo na wazima wa afya, nahitaji kujuzwa kuhusiana na International Money Transfer ipi inatakiwa niweze kupokea hela kutoka M-pesa au tigopesa?
Je, mtu anaweza akanitumia hela moja kwa moja kutoka U.K(GBP) moja kwa moja kwenye akaunti yangu...
Wakati tunaelekea kumaliza mwaka 2016 na kuukaribisha mwaka 2017, nimeona ni vyema nikaongelea suala zima la ajali za barabarani hasa katika kipindi hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka.
Katika uchunguzi niliofanya tangu nikiwa kijana mdogo mpaka kufikia utu uzima ni wazi kabisa baadhi ya watu...
Bikuhabari ndugu zangu, mabibi na mabwana, matumaini yangu kuwa hamjambo, kwa wale ambao sio buheri wa afya, ningependa kuwapa pole na kuwatia imani kuwa watapona na kuendelea na majukumu yao.
Bila kupoteza muda ningependa kwenda moja kwa moja kwenye mada husika, baada ya kukaa kwa muda mrefu...
Ahlaan wassalan members wa Jf, matumaini ni wazima wa afya na mnaendelea na majukumu ya kulijenga Taifa letu.
Napenda kuchukua fursa hii kumpa pole Rais wetu wa Jf, Ndg. Max Melo, katika kipindi hiki kigumu anachopitia, inshallah tuko pamoja nae na tunamuombea kwa mwenyezi Mungu amfanyie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.