Recent content by ossy

  1. ossy

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    amesahau jana tu....atakuwa anavuta huyo...sio bureee
  2. ossy

    Natafuta shule nzuri ya private O-level Arusha au Moshi

    Arusha modern si goverment au? trust nina kijana wa form 3 pale mkuu..sio kama zamani siku hizii haiko fresh...hata huyu nnayemtafutia form one kamaliza pale la saba mkuu....secondary wameshuka sanaa... Sent using Jamii Forums mobile app
  3. ossy

    Natafuta shule nzuri ya private O-level Arusha au Moshi

    ipo wapi mkuu? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. ossy

    Natafuta shule nzuri ya private O-level Arusha au Moshi

    google.mkuu....tengeru boys Sec school utapata! Sent using Jamii Forums mobile app
  5. ossy

    Natafuta shule nzuri ya private O-level Arusha au Moshi

    nimemsaidia mleta madaa Sent using Jamii Forums mobile app
  6. ossy

    Natafuta shule nzuri ya private O-level Arusha au Moshi

    form mwisho ilikuwa mwisho wa mwezi uliopita mkuu...20000/=tsh yap inamchepuo wa sayansi na biashara. Fees-2.8 hivii kwa mwaka..though form one itazidii hapo kwa ajili ya manunuziii....! Sent using Jamii Forums mobile app
  7. ossy

    Msaada wa mawazo

    sanaa aisee...mkuu kanifanyia msaada sana mkuu...Abarikiwe sana Sent using Jamii Forums mobile app
  8. ossy

    Msaada wa mawazo

    pamoja sana mkuu....umekuwa msaada sana..Thanks alot Sent using Jamii Forums mobile app
  9. ossy

    Msaada wa mawazo

    dah...Asante sana mkuu.. kati ya hayo yote sinywi wala sivutii kabisa katika maisha yangu yote...je kwa uzoefu wako wa kitabibu kunauwezekano wa kupona kweli? Thanks Sent using Jamii Forums mobile app
  10. ossy

    Msaada wa mawazo

    Asante mkuu.....je tatizo linaweza kuwa ni nini? je na kama ujanani nilipata mtoto hii inajuwaje? coz nina mtoto mmoja ambaye nilipata ujanani na nina uhakika ni wangu sababu anafanana na mimi kila kitu! Sent using Jamii Forums mobile app
  11. ossy

    Msaada wa mawazo

    nipo kwenye ndoa for five year mkuu..sijafanikiwa kupata mtoto mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  12. ossy

    Msaada wa mawazo

    wakuu heshima yenu....naombeni tafsiri ya majibu yangu baada ya kufanya kipimo cha sperm analysis....ninampango wa kupeleka kwa daktari na shemeji yenu but nataka nijue nini maana ya haya majibu kabla ya mtu mwingine yeyote...na nini maana yake? Asanteni... Sent using Jamii Forums mobile app
  13. ossy

    TCRA wana magical button ya kuswitch off simu zote feki au tunapeana presha tu?

    yah! hapo nimekusoma mkuu...na Isitoshe chache walizozima kwa maana zilizuiwa kusoma network baada ya siku mbili wajanja waliziwasha...so ilikuwa ka mchezo wa kuigiza hivi...Swala lingine na hiyo control ya kuingia hapo ndo mchezo ulikuwa mgumu..Kusema ukweli watu wasiwe ba wasi wasi ili zoezi...
  14. ossy

    TCRA wana magical button ya kuswitch off simu zote feki au tunapeana presha tu?

    Mkuu unazungumzia kenya gani!? Kama ni kenya ya Kenyata hakuna kitu kama hicho...Simu fake na clone zimejaa tele na zinapiga kazi kama kawa...sizungumzi siasa hapa nazungumza uzoefu...lile zoezi lilishindikaana leo zipo zinapiga mzigo kama kawa! Tunasubiri tuone hiyo june itakuwaje, But...
  15. ossy

    Vyuo vya Ufundi, Taarifa Muhimu kwa wanaopenda kujiunga

    Na kama mtu hakusoma sayansi inakuwaje!? mfano dogo alisoma biashara!?
Back
Top Bottom