Huyu mwanamke, Ufoo Saro anaboha, anachefua, anakifu na hafai kabisa kuongoza kipindi kama kile.. After all anaonekana bado ana matatizo ya kisaikolojia huyu, tunaweza kuwa tunamlaumu kumbe tatizo liko beyond her control. Namshauri tu iwe in Mr Menngi au bi Joyce Mhaville au whoever, please...