Blessed Keinerugaba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,789
- 4,835
Deleted!
Wakuu ninawasalimu.
Mheshimiwa Rais wa JMT amefanya uteuzi mpya wa Makatibu Tawala Mikoa,binafsi nimekua "interested"na uteuzi wa katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga,Bw.Abdallah Rashid Dachi ningefurahi kuupata wasifu na uzoefu wa huyu Bwana,natanguliza shukrani!
Mbona unasema umefurahi, aliyakuwa hufahamu wasifu wake mkuu?Wakuu ninawasalimu.
Mheshimiwa Rais wa JMT amefanya uteuzi mpya wa Makatibu Tawala Mikoa,binafsi nimekua "interested"na uteuzi wa katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga,Bw.Abdallah Rashid Dachi ningefurahi kuupata wasifu na uzoefu wa huyu Bwana.
natanguliza shukrani!
uliandika kana kwamba wamjua,umefurahia nin,kutolewa aliekuepo au?
jina tu limemvutia....Mbona unasema umefurahi, aliyakuwa hufahamu wasifu wake mkuu?
haujakosea mkuu,napenda kujua pia uzoefu na ujuzi wake.uliandika kana kwamba wamjua,umefurahia nin,kutolewa aliekuepo au?
Huyu si yule Dachi mtangazaji wa Chanel Ten?