Recent content by Osie

  1. O

    JamiiForums Tanzania Goodluck Ole Medeye (CHADEMA) na Bi. Magdalena Sakaya (CUF) wateuliwa Uspika na Unaibu Spika UKAWA

    Elewa kwanza mada kabla ya kuchangia ndugu,Ole medeye(spika),Sakaya (naibu spika),nafac mbili tofauti hizo.
  2. O

    JamiiForums Tanzania Tuliokwazana mtandaoni kisa kampeni sasa tuombane msamaha hapa, kampeni zimeisha tujenge nchi

    Ngoja kwanza mpaka Lowassa aapishwe,ndio tufanye hivyo.
  3. O

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Bado sana,tafuteni njia nyingine hii imekwama,haturudi nyuma mpaka tuifikie nchi ya ahadi,twende na Lowassa.
  4. O

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Tafuteni njia nyingine,ya leo imekwama,hatudanganyiki kirahisi hivyo.
  5. O

    JamiiForums Tanzania Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

    Mtaongea sana lakini 25 october ndio mtamfahamu nguvu ya Lowassa ikoje,kote mlifanikiwa kuchomoka lakini mwaka huu hamchomoki.
  6. O

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa hukukidhi kiu ya wanawake!

    Eleweni jamani,mkutano ule Lowassa kaalikwa tu,ulikuwa unahusu wanawake wenyewe ndio maana Mama Regna ndie aliekuwa akiongea na wanawake wenzake,kina Mbowe,Mbatia,Babu Duni,Lowassa niwaalikwa tu.
  7. O

    JamiiForums Tanzania Tafadhali Lowassa: Achana na 'active politics'; Bakia mshauri wa Taifa; furahia 80% yako

    Nawewe achana na Jamii forum haikusaidii,pumzika na umasikini wako.
  8. O

    JamiiForums Tanzania Upinzani wamtaka Sumaye...

    Utaumwa wewe na kutangulia kabla ya Lowassa.
  9. O

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe anamiliki jumba la kifahari Dubai!

    Mtu huyo unaemzungumzia alikuwa na pesa nyingi tu kabla hata hajawa mwenyekiti,na ndio mwenyekiti pekee wa chama ambae hapokei mshahara kutoka kwenye chama,na hata baba ake enzi za uhai wake alikuwa akiikopesha serikali kipindi cha mwalimu,hvyo suala la kumiliki nyumba nje ya nchi ni kitu kidogo...
  10. O

    JamiiForums Tanzania Madiwani wa CCM Kahama jimbo la Lembeli, wahiamia CHADEMA!

    Yakweli hayo?
Back
Top Bottom