Recent content by Osei Tz

  1. Osei Tz

    JamiiForums Tanzania Nadra sana kukuta mwanamke mwenye miaka zaidi ya 30 hajaolewa halafu akawa "wife material"

    Ni Diara, anadaka had mashetani
  2. Osei Tz

    JamiiForums Tanzania Mliokuwa mkimsifu Larry Madowo wa CNN kwa Kazi nzuri ya kilichotokea Oktoba 29,2025 mbona hamumwambii aje na Suala la Mrusi 'kuwalala' Wanawake Kenya?

    Wamekulana kwa raha zao, hakuna aliekufa, sasa hapa madowo wa nini? CNN ina deal na big issues kama ile ya october 29.🙇
  3. Osei Tz

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tunaitumia vibaya hii Kauli: “TUTALINDA AMANI KWA GHARAMA YOYOTE”

    super🧠take ur💐💐💐
  4. Osei Tz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukubwani kuna yule rafiki au mpenzi ambaye kamwe huwezi kuja kumsahau kwenye maisha yako hata kama maisha yatawatenganisha. Ni nani huyo

    KISA KAMA CHANGU KIASI Mimeajiriwa tu, nikapata demu anasali balaa, muda wote yupo na Masista parokiani. Kutokana na kule kusali kwake na tabia yake nzuri kwa inje, moyo ukaniambia huyu ndio mkewangu, basi nikaanza kumuhudumia kama wife to be. Akawa anakuka geto anafanya kazi zote kama mke lkn...
  5. Osei Tz

    JamiiForums Tanzania Mwanaume akimwaga nje mwanamke anaweza kupata mimba?

    kama ni bingwa wa timing muda sahihi wa kuichomoa mimba hawez pata, ILA ukishamwaga usiingize tena, mana sperm hua zinabak kweny🍌. so it is a one touch process🤣
  6. Osei Tz

    JamiiForums Tanzania Nitaijibu Barua Ya Kujiuzulu ya Humphrey Polepole kwa Hoja Nzito na kuonyesha Unafiki wake na wale wanaomtumia kumyumbisha Rais Samia

    umedhihirisha wazi kabisa kwamba ninyi ndio mko hivyo, wazee wa kubaka katiba na democrasia, umetuonesha kwamba mambo haya yapo na yalikuwepo kitambo, na kwamba kelele za kutaka mabadiliko ni za msingi sana kwasasa.🥹
  7. Osei Tz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Akinisamehe nitalala five stars hotel kwa wiki kujipooza

    🎤🎤umesemajeeee?
  8. Osei Tz

    JamiiForums Tanzania Kuna muda ubahili una gharama kubwa sana, ni kitu gani umewahi kujibana kikakugharimu zaidi ?

    😂😂😂nimechek balaaa nikiwa huku kijijini
  9. Osei Tz

    JamiiForums Tanzania Ulijenga nyumba yako ya kwanza ukiwa na umri gani ?

    Sijajenga badooooo......
  10. Osei Tz

    JamiiForums Tanzania Allah alitoa kibali cha kufaidi wake zenu vyovyote tutakavyo. Tusipangiane matumizi ya mashamba yetu

    Ila biblia haijasema tuwaingilie wake zetu tupendavyo
  11. Osei Tz

    JamiiForums Tanzania Nani anawadanganya Wakenya kuwa wana Ubavu wa Kushindana 'Kijeshi' na Tanzania inayoogopeka 'Kijeshi' na 'Kiujasusi' Ukanda wa Maziwa Makuu?

    wakenya wanazungumzia freedom of speech & human right protection, wewe unazungumzia uwezo wa kijeshi na kupigana. Ndiomana wanatutukana "watanzania ni incompetent".....std3 wa kenya ni university material Tanzania😂
Back
Top Bottom