Nimesikiliza hotuba ya Askofu Sylvesta Gamanywa katika kongamano la wachungaji wa Wapentekoste wa Wimbi la Mitume na Manabii na wa CAG
Ninaandika haya si kama mwakilishi wa upande wowote, bali kama muumini wa kawaida, mwinjilisti na mtu anayependa kutafakari kwa kina mambo yanayohusu Kanisa. Kwa...
Mtazamo wa kibiblia unaosisitiza zaidi ni huu: Shetani hakupinga Mungu kwa sababu mpango wa Mungu ulikuwa mbaya kwa mwanadamu; alipinga kwa sababu alitaka uhuru kutoka kwa utawala wa Mungu na kutafuta nafasi ambayo ni ya Mungu pekee. Kinyume chake, Biblia inaonyesha kwamba mpango wa Mungu kwa...
Katika miaka ya karibuni, Tanzania imeingia katika kipindi ambacho watu maarufu wana ushawishi mkubwa kuliko taasisi zilizokuwa zinajenga maadili hapo awali, kama familia, kanisa, shule na jamii.
Leo hii, mtu mwenye wafuasi wengi kwenye mitandao ya kijamii anaweza kubadili namna maelfu ya...
Wakati mashindano ya Kombe la Dunia yanaendelea na mamilioni ya watu wakifuatilia kwa hamu kuona nani atainua kombe, nakukumbusha kwamba mashindano makali zaidi duniani hayafanyiki katika viwanja vya michezo bali ndani ya moyo wa mwanadamu.
Ni mashindano kati ya mwili na roho.
Mwili unatamani...
Freemason wamechukua sifa zote za Yesu wamempa Shetani
Wanamwita
The Supreme Being
The Prince of The Word
The Great Architecture
Wamefanya makosa makubwa
Katika Biblia (Wakolosai 1:15-18) Mtume Paulo anapofafanua kuwa Yesu ni nani hasa anasema;
Yeye ni Mfano wa Mungu asiyeonekana
Yeye ni...
Swali la uwepo wa Mungu ni swali la kifalsafa, kiteolojia, na kiimani zaidi kuliko kisayansi. Watu wengi huuliza: kama Mungu yupo, kwa nini asithibitishwe kwa majaribio ya kisayansi? Ili kujibu hili kwa usahihi, ni lazima kwanza kuelewa mipaka ya sayansi na asili ya Mungu.
ASILI YA SAYANSI NA...
Wazo hili linaeleza kwa undani tofauti kati ya kuzaliwa kwa mwili na kuzaliwa kwa roho. Ni kauli yenye uzito wa kiinjili, inayotuonesha kwamba safari ya mwanadamu haikamiliki kwa tukio la kuzaliwa kutoka tumboni mwa mama yake tu. Kuna kuzaliwa kwa pili—kuzaliwa kiroho—ambako ndiko kunaleta...
INAMAANISHA NINI KUSEMA MWANAFUNZI HAWI MKUU KULIKO MWALIMU WAKE?
Kauli ya “mwanafunzi hawi mkuu kuliko mwalimu wake” ina asili ya Biblia (Mathayo 10:24; Luka 6:40) na ina maana pana katika muktadha wa elimu, maadili, na uongozi. Hapa chini kuna hoja 6 nilizoona kwamba zinazoeleza maana na...
1. “Usilie… kuwa mwenye nguvu.”
Sababu kwa nini haifai:
Kumlazimisha mtu asilie kunazuia mchakato wa asili wa kuomboleza.
Huzuni ni sehemu ya uponyaji, na kuizuia huongeza maumivu ya ndani.
2. “Mungu amemchukua kwa sababu fulani…”
Sababu kwa nini haifai:
Hukosa huruma na humfanya mtu...
Katika kizazi hiki cha Generation Z na Alpha, Mtoto anaweza kutangulia kuona jua kuliko mzazi, kupitia AI, Coding, Robotics, Media Literacy, Digital ethics, Financial literacy. Wahenga wamepigwa na butwaa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.