Recent content by oscar filimni

  1. O

    Saed Kubenea alipaswa kuungwa mkono hata na Rais Magufuli

    We VUTA-NKUVUTE Nadhani nawe sijui umekuja nchini siku za karibuni uko up country zaidi ya miaka kumi ndiyo maana watu wanakushangaa na huu uzi uliotupia humu Jamvini Saed Kubenea ni mtu hatari sana sana kwa jinsi ambavyo alitumia kalamu yake miaka Kumi mfululizo kumshambulia Edward Lowasa...
  2. O

    Huyu Suleiman Kova ni Makamu wa IGP au ndio msemaji mkuu wa Jeshi?

    Masulupwete unao ushahidi?ukitaitiwa kwamba thibitisha elewa utaning'inia kwenye kizimba peke yako huku jasho likikutoka kila mahali
  3. O

    Waziri Lukuvi asitisha zoezi la bomoa bomoa

    Kila siku mimi huwa nasema hivi vyuo vya Ardhi kila mwaka watu wanavaa kofia na majoho ya masuala ya ardhi ikiwemo mipango miji,matumizi bora ya ardhi nk,lkn hao watu hawaonekani wanachofanya hata jambo dogo la kugawa kata na akakabidhiwa afisa kuiangalia huku akiwa na Master plan ya eneo...
  4. O

    Yu wapi Prof. Mark Mwandosya?

    Jamani na Mzee wa CCM imeishiwa pumzi,aliyekuwa mlezi wa waganga wa Jadi Tanzania,kwamba chama Tawala wamuombe radhi Lowasa la sivyo PATACHIMBIKA HAPA NCHINI YUKO WAPI?siyo siri kila nikikumbuka yale maneno mmh,nabaki kujisemea mwenyewe hivi wenzetu hapa pakiharibika si wanarukia ndege kwenda...
  5. O

    Rais Magufuli amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya RAHCO

    TRC ndiyo ilikuwa shirika haswa mengine yoote magumashi tu,shirika hilo linapaswa lirudi serikalini asilimia mia moja kwani ni moja ya mishipa mikuu ya damu kwa nchi yetu ikiwemo Mamlaka ya Bandari,tuliingizwa kingi tukatupwa kwenye chaka la Simba kumbe mafisadi papa kwa ukwasi wao ni ili...
  6. O

    Kufuru: Kikwete alitumia takribani Milioni 4 kwa siku moja hotelini Serengeti

    Mwana halisi sijalisoma siku nyingi mno baada ya kuona aliyekuwa kawasadikisha Watanzania ktk makala mbalimbali kuhusu Ufisadi wa Edward Lowasa,na kwamba hata akijitumbukiza kwenye pipa la samli harufu ya ufisadi haitomwisha maana ananuka mwili wote,wengine walikwenda mbali kuwa hata mungu...
  7. O

    Namtabiria Liberatus Sabas nafasi ya IGP

    Hapana hajatokea Urusi huyo nadhani katoka Jimbo la Allepo kule Syria ambako hakuna jengo lililobaki wima yoote ni vifusi vitupu,watu wamejazwa sumu mbaya na wazungu wanatwangana ile mbaya,Libya Iraq Yemen,Alfughanistan,na kwingineko ni aibu kubwa mno
  8. O

    Magufuli; Jipu La Police Limeiva Mno Litumbue Lisije Pasuka Lenyewe Mh Rais

    We Malenga kitu kama hukijui kaa kimya,suala la kituo cha Polisi Bunju kuchomwa moto ni upuuzi wa wananchi kujiondoa ufahamu na kujifanya Hamnazo,askari kasimamisha magari ili watoto wavuke dereva kwa kiburi chake anatanua kwa speed kubwa anakwenda kanyaga mtoto na kusababisha kifo,askari...
  9. O

    Revealed: Kigogo wa Polisi Dar na Benki ya KCB matatani

    Nishasema siku nyiingi BoT kuna shida na ufisadi tu,wale wote walioidhinisha kandarasi ya kuchapa noti mpya wanatakiwa kukamatwa na kuhojiwa,zilipambwa na kupambika zikimwagiwa sifa za ubora na usalama wa kimataifa,hakuna asiyejua ubovu wa noti hizi mpya.Noti zile kubwa@mikeka mpaka leo zina...
  10. O

    Watumishi wa TAKUKURU washangilia kwa furaha baada ya Rais kutengua uteuzi Hosea

    Nilichoka mno hadi kubaki nimeduwaa,nanukuu NIMECHUNGUZA KWA MAKINI NA KWA KINA NA NIMEBAINI YA KWAMBA KTK MKATABA WA RICHMOND NA SERIKALI HAKUNA HATA CHEMBE YA RUSHWA,MKATABA NI MSAFI KAMA PAMBA,Ngoma ilipochimbuliwa na kamati ya Mwakyembe yaliyoibainika na aibu ya mwaka,nilijiuliza maswali...
  11. O

    Amerudi Kwenye Baraza, Mpiganaji Aliyepigana Hadi Risasi Ya Mwisho!

    Maggid hata mimi nimefarijika na uteuzi wa mheshimiwa Prof Muhongo kukabidhiwa wizara hiyo,ni mkweli hamumunyi maneno ili kufurahisha hadhira ya watu,maana ndiyo hulka ya watu wote waliosomea sayansi haina longo longo au kufanya mambo nje ya formula,kila la kheri mheshimiwa ninaamini huku kwetu...
  12. O

    Rais Magufuli atangaza Baraza Jipya la Mawaziri - 10 Disemba 2015

    Nimefurahishwa na uteuzi wa Waziri Muhongo kurudi kwenye wizara yake,nina imani naye sana huyu binadamu umeme utapelekwa vijijini kwa haraka,siyo siri Nishati ndiyo kila kitu ktk kumkomboa mwananchi wa kipato cha chini,huko huko mashambani watu wanaweza kuanzisha viwanda vidogo vidogo vya...
  13. O

    Lowassa, Sumaye, Kingunge, Mbowe na Lissu wapuuzwe

    Sawa Musa Allan tumekuelewa kwamba rais wako ni Lowasa,hebu tangazia ulimwengu ataapishiwa wapi,wageni wa kushuhudia tukio hilo umeshawapelekea mwaliko!Yaani we ni mtu wa ajabu mno nadhani bado unaota kampeni enzi hizooo ambazo zishapita kitambo na Rais Magufuli anakamua mijipu ilishajiivia...
  14. O

    Anachofanya Rais Magufuli sasa ni uchonganishi kati ya wananchi na Kikwete

    Mmh jamani huyu jamaa anazungumza vitu vya maana au katumwa kutupia huu uzi,maana simuelewi amelenga nini hasa,jee kipindi kile cha Kujifunga mkanda baada ya vita vya Nduli Amini wa Uganda nchi hii si ingeanguka kabisa,Kwa upande wangu mimi NAKUSAMEHE BURE KABISA,HUYO ALIYEKUTUMA KAMWAMBIE KUWA...
  15. O

    Magufuli bado hajanishawishi

    Sawa we baki na msimamo wako huo huo wa kutokushawishiwa na anachofanya mh rais maana huo ugumu wa shingo yako hauiathiri nchi hata chembe,ila huyo aliyeko kichwani mwako si kiongozi mkuu wa nchi yetu,endelea kupinga tuuu ila mimi kila niamkapo asbh kumshukuru mungu kwa kunilinda usiku kucha na...
Back
Top Bottom