Recent content by Oscamaduhu

  1. O

    JamiiForums Tanzania Yai la kuku utalichemsha kwa dakika ngapi?

    Hahaha mabachela bana
  2. O

    JamiiForums Tanzania Tumaini choir kwa wapenzi wa nyimbo za injili miaka ya 1998

    Aisee aliyegundua jamii forum abarikiwe sana hii nyimbo leo nimeitafuta mno hatimae jibu nimelipata hapa 🙏
  3. O

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya Lodge na GuestHouse

    Lodge hii ni nyumba ya kulala wageni lakini pia na huduma breakfast Guest nyumba ya kulala wageni pasipo kuwa na huduma ya chakula
  4. O

    JamiiForums Tanzania Neno ABS Linamaanisha Nini Kwenye Gari VW

    M Majuzi mafundi walicancel abs kwenye gari yang hali iliyopelekea nikapata ajali na gari kuanguka kabisa sabab kuna mda nilifunga brake ya ghafla gari ikageuka ilikotoka je ABS inaweza kwel sababisha madhara kiasi hicho
  5. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zawadi gani nzuri kwa wazazi siku ya harusi?

    Aisee nashukuru sana ubarikiwe
  6. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zawadi gani nzuri kwa wazazi siku ya harusi?

    Toa jibu
  7. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zawadi gani nzuri kwa wazazi siku ya harusi?

    Wadau habarini, Wiki ijayo nategemea kufunga ndoa huko Mtwara, sasa nishaurini ni zawadi gani nzuri ya kuwapa wazazi wangu? Na je, kama ni mistari ya biblia, ni mstari gani mzuri unaohusu wazazi?
  8. O

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua ulaji wa mafuta wa Toyota Prado

    Prado TX 3rz trip ilinipa 8km/l na mishe za town kwenye foleni sana mpaka 5km/l
  9. O

    JamiiForums Tanzania Kwanini kwenye usajili wa plate namba za magari hakuna herufi ( i )?

    Herufi O hakuna wap uliwah ona DOO
  10. O

    JamiiForums Tanzania Naombeni elimu kuhusu Jeshi la Uhifadhi Tanzania

    Si Sipo uhifadhi ila majeshi nayajua vzr
  11. O

    JamiiForums Tanzania Naombeni elimu kuhusu Jeshi la Uhifadhi Tanzania

    JWTZ ndo jeshi pekee ambalo sio paramilitary sababu wana kila sheria inawaruhusu matumizi ya silaha za aina zote sasa nenda kwenye sheria ya polisi uone kama wameruhusu kutumia RPG, Arm Grenade na Vifaru
  12. O

    JamiiForums Tanzania Namba E zitaanza muda wowote kuanzia sasa

    Special no hii naijua vzr
  13. O

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Tunauza magari ya aina mbalimbali

    Hii Aise hii gar kuna mahali niliskia sifa zake aise ipo vzr
Back
Top Bottom