Recent content by osc michael

  1. osc michael

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya stationery

    Chukua iyo
  2. osc michael

    JamiiForums Tanzania Nimeletewa bill ya maji isiyo sahihi. Naomba msaada kwa mwenye Uelewa

    Ipo hivi kipindi maji hakuna na ukiwa umeacha koki ikiwa imefunguliwa, ile pressure ya hewa inayopita kwenye bomba huwa inazungusha meter.
  3. osc michael

    JamiiForums Tanzania Sababu zilizopelekea Yanga SC kupoteza dhidi ya Azam FC

    1.Kucheza chini ya kiwango kwa pasi nyingi ambazo zilikuwa hazina tija. 2.Uchovu wa mechi iliyopita. 3 Baada ya kumtoa Baca Kwa kadi nyekundu wameweza kupita. 4.Wamekosa ufundi wa strikes 5.Walikosa ubunifu kutokana na kutocheza vizuri bila individuals skills. 6.Refa leo hakuweza kumudu...
  4. osc michael

    JamiiForums Tanzania Je ukiwa mpagani, siku ukifa hauzikwi?

    Huzikwi, unachimbiwa
  5. osc michael

    JamiiForums Tanzania FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024

    All the best Yanga
  6. osc michael

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndugu naomba ushauri akili imestack

    Achana naye na usirudi nyuma, watoto watasoma huko huko walipo, hawezi atakurishia.
  7. osc michael

    JamiiForums Tanzania FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024

    Uliwahi kuona wapi mechi ya mshindi WA pili ikawa na mvuto
  8. osc michael

    JamiiForums Tanzania Madereva wa kampuni za Usafiri Bolt na Uber wanaongoza kuharibu biashara ya usafiri

    Jana nime request gari yenye uwezo wa kubeba abiria 4, ilipofika dereva kasema gari yake inabeba watu 2 tu
  9. osc michael

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Kuna watu nawambia kuwa dereva wa hii bajaji ni huyo wa Julia kwako wanabisha😂😂
  10. osc michael

    JamiiForums Tanzania FT: Nusu Fainali ASFC Cup: Azam FC 2-1 Simba SC : 07-05-2023, Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara

    Dah huu nwaka simba ni sawa na team gani vile ya EPL? naomba niambiwe kabla sijasema mimi
  11. osc michael

    JamiiForums Tanzania Sala ya Shedrack, Meshaki na Abednego

    I napatikana kwenye kitabu gani mtumishi
  12. osc michael

    JamiiForums Tanzania Je, unafanyaje ukiwa umepigiwa full light barabarani?

    Nikihitaji kubadilisha haligen light to LED au laserlight natakiwa kufanya nini
  13. osc michael

    JamiiForums Tanzania Huyu ndege kiboko ya nyoka(Secretary bird) anapatikana wapi Tanzania? Kwa kiswahili anaitwaje?

    Tirangire wanapatikana wengi
  14. osc michael

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nyie baby daddies mnatutesa sana hamjui tu. Mwenzenu niko njia panda sielewi

    Tafuta suluhu na baba mtoto mrudiane, itapendaza sana ukioana. Maana kuanza kizaa na mtu mwingine dhaaa haipendezi
Back
Top Bottom