Sala ya Shedrack, Meshaki na Abednego

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Feb 26, 2021
950
2,866
SALA YA SHEDRACK,MESHAKI NA ABEDNEGO.

Utukuzwe na kusifiwa,ee Bwana,Mungu wa babu zetu! Jina lako litukuzwe milele,yote uyafanyayo,wayafanya kwa haki kabisa,matendo yako yote ni mema,na njia zako ni sawa,na hukumu zako zote ni za haki.

Katika mambo yote sisi tumekukosea sana, wala hatukuzitii amri zako, hatukuyashika hayo, kama ulivyotuamuru, ili tufanikiwe, basi yote uliyotutenda, umeyatenda kwa haki kabisa, umetutia mikononi mwa adui zetu, watu wasiotaka kujua lolote juu ya Mungu,sasa hatuthubutu hata kulalamika, aibu na fedheha vimetupata sisi watumishi wako wakuabuduo, kwa ajili ya jina lako, usitutupe kabisa.

Usilitangue agano lako ulilofanya nasi, utuonee huruma kwa ajili ya Ibrahim mpendwa wako, kwa ajili ya Isaka mtumishi wako na Israel (Jacob) mtakatifu wako, Ukumbuke kwamba uliwapa ahadi kwamba wazawa wao watakuwa wengi kama nyota za mbinguni, naam wengi kama mchanga wa pwani, sasa tu wachache kuliko mataifa yote, kwa dhambi zetu twadhulumiwa duniani kote hata leo, hatuna tena Mfalme,wala Nabii, wala kiongozi, hatuna pa kukutolea sadaka na kupata rehema zako.

Lakini twakujia kwa moyo wa toba na roho nyenyekevu, utukubali Kama vile, tungekujia na sadaka ya kuteketezwa za kondoo dume na mafahali au na maelfu ya wanakondoo wanono, ikubali toba yetu kama sadaka yetu leo, ili tuweze kukutii kwa moyo wote, maana, anayekutumaini wewe hataabiki kamwe, usikubali tuaibike , ututendee kwa kadri ya uvumilivu wako na wingi wa huruma yako. Tukomboe Ee Bwana kwa matendo yako makuu, lifanye jina lako kuu litukuke, ee Bwana.

Wote wanaowaudhi watumishi wako waaibishwe, na wafedheheshwe na wapokonywe uwezo wao, nguvu zao na zivunjiliwe mbali, wapate kujua kwamba wewe ndiwe Simba wa Yuda,Bwana wa Mabwana, Mfalme wa Wafalme, Bwana wa Majeshi, ndiwe Mungu peke yako, mtukufu juu ya Ulimwengu wote,

Amina.
 
Lengo hasa la hii sala ni nini Mtumishi wa Mungu? Maana kama unavyo fahamu, hii Vita ya Urusi na Ukraine imesababisha mfumuko mkubwa wa bei za bidhaa Nchini!

Hivyo wengi tumevurugwa.
 
Stay nlessed yoy guy🫱🏼‍🫲🏽🫱🏼‍🫲🏽
 
I

napatikana kwenye kitabu gani mtumishi
 
Amen
Screenshot_20230418-131635.jpg
 
Lengo hasa la hii sala ni nini Mtumishi wa Mungu? Maana kama unavyo fahamu, hii Vita ya Urusi na Ukraine imesababisha mfumuko mkubwa wa bei za bidhaa Nchini!

Hivyo wengi tumevurugwa.
Vita ya Ukraine inahusiana nini sasa na hiyo sala?
 
Back
Top Bottom