hyo inajulikana mashirika mengi ya umoja wa mataifa wamejaa majasusi wa west hata iran alilishutumu shirika la nguvu za atomic kwa issue km hzo kutumika
Mngekuwa mmepelekwa kwenye maslahi makubwa zaidi halafu Tasac wangetaka kuwarudisha pia mngelalamika mnasumbuliwa hila kwakuwa huko mnaona maslahi madogo sasa hv mnaona mnaonewa hamrudishwi
Kwani hao mossad si ndio walimwanbia netanyahau iran amebaki na makombora elf 2 wakamfanya mpk kaanzisha vita kwa kujua iran hana silaha za kutosha matokeo yake kaomba ceasefire kupitia mume wake USA baada kugundua kapewa taarifa za uongo maana makombora yanagonga tel aviv km mvua na hayana...
Putin anajua lugha nyingi hila hataki kuongea hata english anaijua vizuri tu hila anataka kuongea tu lugha yake nnakumbuka kuna siku mkalimani alitafsiri kutoka ki russia alivyo translate to english puttin akamwambia mkalimani hakumaanisha hvyo inamaana anafanya kusudi
Sasa ww unaweza ku compete na mchina ?hicho ndio walichokuwa wanalalamika wafanyabiashara mfanyabiashara wa kichina anatakiwa akija tanzania km bidhaa auze jumla sio na yy afungue duka la rejareja
sawa hzo hzo ndogo tuzichangamkie km huo usafirishaji wa mazao walikuwa wanakuja kununua mashambani sasa hv haitakiwi kwahyo tufanye sisi hyo biashara tununue mashambani tusafirishe
wachina sidhani km wamekatazwa kufanya biashara kinachokatazwa ni mpk viduka vya rejareja mtaani na hapo kwenye bei ndio wafanyabiashara wetu wana fail wanapenda faida kubwa sn wanatamaa
Katika taarifa inayoenea mtandaoni wizara ya viwanda na biashara imepga marufuku baadhi ya biashara kufanywa na wageni, Je sisi km vijana wa kitanzania tumejiandaa vp kuziba nafasi hzo au sisi kazi yetu kulalamika tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.