Recent content by Osambi ze Great

  1. O

    Lema, ambulance mbili zilizotolewa msaada kwa ajili ya wana arusha ziko wapi?

    Safari hii hujajipanga, huwenda ulikuwa unaandika hii thread ukiwa msalani. Hakuna aliyepinga kuwa Aatish hakodishi Ambulances. Hoja hapa ni wewe kututhibitishia kuwa hizo Ambulances kauziwa na Lema. Vinginevyo, unacheza mchezo ule ule wa ccm kupakazia vyama mbadala!
  2. O

    Uropokaji huu wa Membe utaibua upya mzozo wa kidiplomasia kati ya Rwanda na Tanzania

    Hebu nielezeni nielewe; kwanini mnaitetea Rwanda, hivi inahitaji digrii kuelewa M23 ni wa-Nyarwanda? Hili ni kundi linaloungwa mkono na Rwanda kwa ajili ya maslahi ya Rwanda. Chuki yote ya Kagame dhidi ya Tanzania ni kutokana na Tanzania kupeleka majeshi Congo na kutoa kichapo kwa M23.
  3. O

    Hatimaye mpambe wa Kikwete abadilishwa!

    Hata mimi niliyepitia jeshi nimechanganyikiwa, possibly tunatakiwa kwenda Refresher Course. Cheo chake ni Luteni Kanali (Lieutenant Colonel) lakini kofia aliyovaa si ya cheo hicho (ua la mbele), kofia hiyo huvaliwa na na Colonels & Brigadiers.
  4. O

    JJ Mnyika na Esther Bulaya Live: Star TV

    Tatizo lako sijui ni ufahamu mdogo wa lugha ya kiingereza au basi tu nawe uonekane umepost kwenye thread husika..!? Kusema "I love you" haimaanishi kumpenda mtu kimapenzi pekee bali pia upendo uliopitiliza kutokana na mambo anayofanya au aliyofanya. Vile vile hutumika kuelezea upendo kwa watu...
  5. O

    Tanzania yakanusha habari za uongo na uzushi ambazo ziliandikwai na gazeti la Serikali ya Rwanda

    Mkuu inaonekana hujaelewa, waliolalamika ni Ubalozi wa Tanzania uliopo Rwanda. Na kwa kuwa wapo Kigali, wamelilalamikia gazeti moja kwa moja. Sio sahihi kwa wao kupitisha malalamiko Ubalozi wa Rwanda hapa kwetu. Serikali hapa ndio inaweza kuwasilisha malalamiko kupitia wawakilishi wa serikali ya...
  6. O

    Is ITV pro- CHADEMA?

    Kwani Rais aliongea siku hiyo au ulitaka ITV wamuoneshe tu ufurahi kumuona? Walioongea ndio waliopewa air time!
  7. O

    Mgombea wa udiwani kupitia CCM Bunda, ameshtakiwa na wake zake wawili aliowatelekeza !!!

    Ni kitendo cha kusikitisha kwa waungwana lakini si kwa MAGAMBA. Si mnakumbuka fumanizi la Mwigulu kule Igunga? Kwao hilo ni jambo la kawaida!
  8. O

    CCM yapata aibu kubwa huko Temeke

    Hebu tujuze, anatoa wapi hela? Nijuacho mimi miradi yote inatekelezwa kwa fedha za Halmashauri inazopata kupitia kodi na ruzuku (kama ipo) toka Serikali Kuu. Halmashauri ya TMK ina mpango kazi wake na vipaumbele vyake. Hivyo miradi ya barabara inatekelezwa baada ya kupitishwa na baraza la...
  9. O

    Mwigulu Nchemba aitikisha Kata ya Sombetini, Arusha.

    Inategemea anakubalika na nani? Hata wale wa kata zile 4 mlisema hivyo hivyo.
  10. O

    Mwigulu Nchemba aitikisha Kata ya Sombetini, Arusha.

    Unadhani wote waliokuwepo kwenye huo mkutano ni wanaccm? Je kwenye zile kata 4, mikutano yenu haikupata watu ndio maana mkashindwa vibaya? Wingi wa watu kwenye mikutano ya kampeni si kigezo cha kukubalika au kushinda uchaguzi. Chaguzi za kuangalia chama zimepitwa na wakati sasa hivi, watu...
  11. O

    Wagombea wa udiwani - kanda ya kaskazini hawa hapa

    Labda nisaidie kuelewa; CDM ilianzishwa Kaskazini? Makao yake Makuu yapo Kaskazini? Wajumbe wa Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ni kutoka Kaskazini? Hebu nijuze ili nione kama nikuunge mkono kwa hili la ukaskazini wa cdm!
  12. O

    Nyasura - Bunda: Mgombea wa CHADEMA Magambo ni Mganga wa Kienyeji sio Mtoto wa Waziri Wassira

    Naona unashindwa kutofautisha kati ya jina Stephen na Wassira. Wassira ni ukoo ambao una watu wengi nyuma yake. Kwa hiyo kama huyo ndugu analitumia basi huenda ana uhusiano nalo. Iwapo analitumia kwa kumaanisha Stephen Wassira basi amepotea maana huyo anayeitwa Stephen Wassira hana umaarufu...
  13. O

    Mwenyekiti CHADEMA Temeke adai alitekwa na mwanaCHADEMA mwenzake, CHADEMA yataka Polisi ichunguze

    Kweli script ni nyingi. Huyu ndugu mbona anajichanganya? Maelezo yake ya awali yanatofautiana kabisa na haya. Mwanzo alisema alikuwa kwenye baa na sasa alikuwa njiani akielekea nyumbani. Tushike lipi na tuache lipi?
  14. O

    Mchawi wa CHADEMA huyu hapa

    Nakubaliana na wewe. Ni kutokana na udhaifu huo wa uongozi ndio maana kina Shoza na wenzake walipokea pesa kuihujumu CDM. Vile vile na kubaliana na wewe, ni kutokana na udhaifu huo, ZZK alikisaliti chama kwa kusaidia wagombea kadhaa wa ubunge kupitia CCM wapite bila kupingwa. Kama hiyo haitoshi...
  15. O

    Kauli ya Joseph Warioba kuhusu Muungano mwaka 1982

    Ina maana link alizoweka hujaziona? Hebu tuweni makini wajameni!
Back
Top Bottom