Wakuu hata Islamic knowledge kwa haraka haraka...maksi za juu ni C. Elimu ni elimu tu....hata ya Imani inatakiwa mtu mwenye uwezo. Mimi nafikiri sasa tatizo linakuwa kubwa zaidi...unapojenga mazingira ya kutaka kusaidiwa badala ya kujisaidia mambo ndi yanakuwa hivi....Ndugu zangu wa Imani...
Haya balaa jingine tena....yale ya Mzee Laigwanani wa Monduli......"BOMU". Lakini wakuu mbona nikifanya mahesabu sipati asilimia 100?
Idadi ya waliofanya mtihani kidato cha 4 2012
480,036
Division I
1,641
0.341849361
Division II
6,453
1.344274179
Division III
15,426
3.213508987...
Haya balaa jingine tena....yale ya Mzee Laigwanani wa Monduli......"BOMU". Lakini wakuu mbona nikifanya mahesabu sipati asilimia 100?
Idadi ya waliofanya mtihani kidato cha 4 2012
480,036
Division I
1,641
0.341849361
Division II
6,453...
Kwa kuwa watu hawaweki utambulisho wao halisi humu....yaweza kuwa ni wale wale wa imani ileile wanawajaza hasira wakristu kupitia kwa viongozi wao wa dini........Hapa viongozi wa dini kuweni na hekima. Kama kiongozi wa dini mojawapo kasema hadharani kuwa watawachinja viongozi wa dini...
Kwa habari zilizopo mtandaoni.....
Katibu wa Diocese anasema deni ni Bil 1. Wafanya biashara 17 wa Arusha wamechanga 1.7 Bil. Imeanzishwa kampuni ya kibiashara ya ALUICO kama mdhamini wa mali hizo na wanahisa ni wafanyabiashara. Barua ya kiaskofu inataka waumini 600,000 kila mmoja achangie...
Wanauchumi wa vyuo vikuu na benki kuu; Tuelimisheni(Wekeni mada humu) za gharama ya kujenga bomba mpaka Dar na kuweka Gas Turbines pale Mtwara na kuausafirisha umeme kwenye Grid ya taifa. Jamani wasomi tupeni takwimu za kuhalalisha hili linalofanyika sasa. Lazima kuna andiko la biashara la huu...
Kwa nini zinajengwa "export processing zones"?....kwa nini isijengwe mtwara kama hiyo?...na kwa nini umeme usizalishwe Mtwara kwa kutumia gesi na usafirishwe kwenda Dar na maeneo mengine?
I was watching the opening of GAVI Forum on TBC yesterday on TBC. I was astonished when Yvonne broke the protocol and called His Excellency the President Dr Jakaya Kiwete, Graca Mashel and Dr Hussein Mwinyi and gave them each a CD to watch. I don't know the content of the CD and why she handed...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.