Recent content by oresto gabinus

  1. O

    Ajira mpya za Walimu 2014/2015

    wait tamisemi is loading
  2. O

    Yaliyojiri uzinduzi wa uboreshaji daftari la kudumu la wapiga kura kwa mfumo wa (BVR)

    ndugu yangu sidhan kama upo sahihi sana kusema kwamba watu wengi walioudhuria jana ni kwamba wanamkubali pinda la hasha jibu ni kwamba pinda ni kiongoz wa selikar na wananch wengi walikuwa na shauku ya kujua hasa ni nin selikar inaenda kuzungumzia dosali nying wananch walizokutana nazo tar 23...
  3. O

    Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

    unataka kusema wamasomo mengine inakuwaje?
  4. O

    Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

    Aisee ingekuwa vizur ma afisa wa tamisemi wangeamka na kutolea ufafanuzi hili swala, Kwanini twende kama vipofu walimu wanaitaji kujianda kwani kama wanafanya ujasiliamal waweze kupanga vizur mambo.
  5. O

    NEC wana ajenda gani na usajiri wa wapiga kura kwa kutumia BVR?

    mi mwenyewe ni shuhuda kwa yaliyotokea kwani nimefika kituon sa tatu asubih mpaka sa nane sijapata uduma yeyote mwishon tukaambiwa tuandike majina ili tuwahi asubuh ya kesho kwan mashne hazifanyi kazi jaman kwa stail hii kweli tutafanikiwa mh sa anakuja kuzindua nn?from mk
Back
Top Bottom