Wameshindwa Operation Ondoa Msaliti Buguruni(OMB) Leo wataweza kumzuia Lipumba kuweka Mgombea wa ubunge?, kwa kauli hizi za Viongozi wa Chadema inaonyesha upinzani ni Cheap & simple kwa manunuzi
Vyama vya upinzani Tz havina tofauti na Bendi za Taarabu, Unafiki, Kejeri, Majungu, Malalamiko na myemko kwa ufupi having dira wala agenda vinasubili matukio na nani kasema nini na sisi tujibu nini kama mipasho. Hakika kama nadharia ya democrasia ndio hii chini ya Vyama Vingi(Multiparty) bora...
Ushauri wa Lema unafuka Moshi wa Bangiri, na Ushauri anaopewa Mh.Mbowe unanuka Moshi wa Bangiri Wanachama na Viongozi waandamizi wa Chadema wamelewa Moshi wa Bangiri , chezea cha Arusha ww utararuka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.