ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,013
Ni kama wamarekani waliodhani ukimuua osama,sadam na wengineo basi kuna harakati zimekufa,issue hapa ni mioyo ya watu,hata ukitangaza vyama vingi vimefutwa bado wapinzani watakuwepo tu,mbona enzi za nyerere pamoja na kufosi chama kimoja wapinzani walikuwepo
Jesus christ,hayo mabilioni ya kununua kina mtulia kachimbeni visima vya maji jamani, only way ya kuua upinzani ni kurahisisha maisha ya wananchi,hapo mtapendwa sana
Mbona wakati JPM anaingia madarakani the first few weeks nchi nzima ilikuw ina rally nyuma yake hadi kina mbowe wakawa wanakosa la kuongea?haya maguvu na kununua individuals ni kujidanganya,upinzani sio mbowe,mnyika,slaa au mtulia
Ideology waliyoiingiza vichwani mwa watu inatakiwa itolewe kwa kurahisisha maisha yao otherwise yanayofanyika sasa hivi ni sawa na kuingiza middle finger kwenye masaburi na kujinusa mwenyewe huku harufu yako ya huko mboleani ikikusisimua