Recent content by De Opera

  1. De Opera

    Ipi ni fasaha kati ya 'Njozi' na 'Njonzi'?

    Ahsante mkuu! 🙏🏾
  2. De Opera

    Ipi ni fasaha kati ya 'Njozi' na 'Njonzi'?

    Sawa. 🙏🏾
  3. De Opera

    Ipi ni fasaha kati ya 'Njozi' na 'Njonzi'?

    Ooh, naomba unisaidie maana zake!
  4. De Opera

    Hivi kwanini wanawake wengi wakiwa mabinti (19-24 years), wanachagua ku-date na wanaume wa hovyo?

    Yaani acha tu. Na huwa hamuwezi kukutana mara ya pili. Mimi lazima nimfuatilie anakoishi aisee. 😂
  5. De Opera

    Ipi ni fasaha kati ya 'Njozi' na 'Njonzi'?

    Ahsante mkuu!
  6. De Opera

    Ipi ni fasaha kati ya 'Njozi' na 'Njonzi'?

    Wakuu kwema? Nahitaji kujua usahihi wa maneno haya kati ya Njozi na Njonzi. Nimekuwa nikisika wengi wakati wa usiku wakitakiana njonzi njema, wengine njozi njema. Lipi ni neno sahihi? Ahsanteni!
  7. De Opera

    Ladies tajeni Wanaume mnaovutiwa nao humu JF

    Mwanaume kufungua account ya kike huo ni ushoga pia.
  8. De Opera

    Hivi ladies especially wa Tanzania huwa mnatuchukuliaje wanaume ambao hatuna sauti nzito?

    Mwanaume anakuwa na sauti nyororo, unakuta hadi ana mattercle mbinuko. 😂
  9. De Opera

    Ukiachana na Pesa, unahitaji nini sasa hivi?

    Nahitaji nipumue aisee! 😀 Shabiki wa Yanga wanaongelea masikioni!
Back
Top Bottom