Recent content by OPEN the Door

  1. O

    JamiiForums Tanzania Humphrey ahukumiwe kifo in absentia

    Asikilizwe, maana ana jambo lake, in voice of democracy.
  2. O

    JamiiForums Tanzania Yaani Tundu Lissu hatoki, Kila mkipiga makelele ndio mnamponza

    Raia wa kawaida hana athari hata akiasi SERIKALI yake maana si anagoma kimya kimya kunywa soda,chai,bia, energy nk? Pia,anaamua kutembea Kwa miguu huku akilima shamba lake na kula viazi vitamu ,mihogo,maboga,miwa nk bila kuprleka sokoni.?
  3. O

    JamiiForums Tanzania Baada ya Lissu kutolewa Sero atahitajika kufanya Reforms ili kujenga Chama chake

    SAWA mkuu. Tena siku ipo Tena yaja. Hakuna tawala zinazodumu milele.
  4. O

    JamiiForums Tanzania Baada ya Lissu kutolewa Sero atahitajika kufanya Reforms ili kujenga Chama chake

    Duh, umetisha mkuu. Nadhani wewe ni mtu wa mifumo na mipango isiyotekelezeka. Ni taikonMaster au nikupe Jina jipya ya king maker. Lakini hii movie ndiyo imeanza. Wewe upon kwenye siasa?
  5. O

    JamiiForums Tanzania Nasikitika sana CHADEMA kushindwa kuruka mtego mdogo wa kesi ya mgawanyo wa mali za chama

    Kwanini tugawane fito wakati tunajenga nyumba wakati wa masika na baridi Kali Tena porini?6
  6. O

    JamiiForums Tanzania Nini hatima ya watanzania, Inatosha sasa! Yaliyosemwa na Dkt. Slaa na Polepole yanaumiza

    Hivi wakati huu wa UCHAGUZI mkuu, SERIKALI si imeshavunjwa na wagombea si wapo kwenye mchakato wa kuomba ridhaa ya kuchaguliwa. Je, amiri jeshi Kwa sasa ni nani?
  7. O

    JamiiForums Tanzania inatia simanzi: Conclusion by hon Lissu

    Je, huyo mropokaji unayemchukia aliropoka? au alitenda kosa LA uhaini? No prosecution without justice. Hivi kwenye siasa za vyama vingi Kuna mipaka ya kuongea?
  8. O

    JamiiForums Tanzania Tundu Antipas Lissu special thread (CHADEMA CHAIRMAN)

    Kwani accasia ni mali ya nani?
  9. O

    JamiiForums Tanzania Wakili Nasoro Katuga hana papara ni very professional

    Hapo unamuona hana papara Kwa kuomba kuahirishwa kesi hadi wiki mbili? Ngoja kesi ianze, utajua nani mkali. Lakini kazi ya uwakili unafahamu kuwa ni kazi inayohitaji kuwa mtu smart? Hata amri ya MUNGU inaeleza kuwa usimshitaki mtu Kwa uongo?
  10. O

    JamiiForums Tanzania Idadi ya mashahidi ni 30 vielelezo ni 9

    Asante sana Kwa ufafanuzi. Kumbe ndo kiini cha kukamatwa Kwa TAL?
  11. O

    JamiiForums Tanzania Aweso aitaka RUWASA ifikishe maji vijiji vyote

    Duh, umetisha Mr Lucas. Maji ya nani......?
  12. O

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bila Tundu Lissu Kuachiliwa na CHADEMA Kuruhusiwa, uhalali wa Rais Samia Suluhu utahojiwa

    Hakika umenena kweli kweli. Siasa safi na Uongozi Bora ni dawa ya kukubalika Kwa SERIKALI halali. Ikiwa Watanzania hawataridhika na SERIKALI Yao kutoka ndani ya uvungu wa mioyo Yao, kazi ipo. 🙄
Back
Top Bottom