Hahaaaa nimecheka mno makamanda wenzangu tulivokua bize kumsema huyu fisadi ila tukageuka tena na wale tulioamua kubaki na misimamo yetu tunaitwa wasaliti. Mabadilikooooo..... lowasaaaaaa
Kiukweli ukawa mnanifurahisha. Mtoa mada ye katoa pongez nyie mnapinga. Shida nini au kuna kitu kimefichwa kwenye pongezi. Hahaaaa. Tuliwaambia yale makapi tuliyashindwa nyie mkapokea.
Polepole nakuambia hawa wasikuvuruge kabisa. Hawatajibu hoja hawa. Mi natamani urudishe yale mapambano nyie na akina Slaa na Lipumba mlionyesha msimamo kwenye katiba ila sasa nyie ndo mnaitwa wasaliti.
Makamanda wenzetu wamegeuka sasa wanaita yule aliyetupinga kwenye katiba kuwa ndiye...
Umenena mkuu. Mi nilikua nawashabikia kipindi kile bunge la katiba na kudai rasimu ya warioba. Ila nikiangalia kinachofanyika sasa ni maajabu tofauti na ile ukawa tuliyoijua iliyokuwa na watu makini na hoja zisizoyumba.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.