Umoja wa VICOBA NIT wamtunuku Lowassa Tuzo ya Amani

Oct 7, 2015
86
108
⁠⁠⁠Waziri wa Habari serikali ya wanafunzi wa chuo cha usafirishaji Tanzania NIT Mariam Hassan kwa niaba ya umoja wa VICOBA chuo hicho akimkabidhi mh Edward Lowassa tuzo ya amani.

walifika ofisini kwake mikocheni DSM na kumpa tuzo hiyo,Wanaamini kuwa ya bila ya hekima na busara zake amani ya nchi ingeharibika baada ya matokeo ya uchaguzi Mkuu oktoba mwaka jana 2015.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Politically, Lowassa is finished!

Kwa sasa anajitengenezea tuzo na kuwatafuta vijana ili wasimame mbele ya kamera kuonyesha wamempa tuzo. This is fun to say the least!

Kesho atatokea kwenye front page ya magazeti ambayo wamiliki/wahariri wake amewanunua!

Usanii wake umeishashtukiwa na Watanzania wengi!

Lowassa is suffering from Mrema political law of diminishing returns!
 
huyu mzee naye ameshuka thamani hayo makaratasi kila siku anapokea?bado wafugaji wa sungura na sisi tupeleke tunzo yetu sasa,tunatambua mchango wake kwenye sekta ya sungura
⁠⁠⁠Waziri wa Habari serikali ya wanafunzi wa chuo cha usafirishaji Tanzania NIT Mariam Hassan kwa niaba ya umoja wa VICOBA chuo hicho akimkabidhi mh Edward Lowassa tuzo ya amani.

walifika ofisini kwake mikocheni DSM na kumpa tuzo hiyo,Wanaamini kuwa ya bila ya hekima na busara zake amani ya nchi ingeharibika baada ya matokeo ya uchaguzi Mkuu oktoba mwaka jana 2015.
 
Hana mkono kweli kwenye umoja wa vicoba NIT? Nina wasiwasi. Inasemekana ni hodari katika kuanzisha au ku-support vicoba tena kwa malengo ya .......... wanarudisha shukrani na kumpa promo ata the same time.
 
Poleni Wote Mnao Mbeza Kipenzi cha Watu Lowassa, Hukiwa Mtoaji Utapendwa na Mungu Pamoja na Wanadamu, Je! wewe Unaye Mdhihaki, Umesha Saidia Wangapi?
 
Back
Top Bottom