Recent content by ooki

  1. ooki

    Fomu za Edward Lowassa zilitimia?

    Ukweli ni fomu 6 tuu mkuu
  2. ooki

    Fomu za Edward Lowassa zilitimia?

    Kimsingi hua wanapewa fomu zote 40 kwa ajili ya kukusanya wadhamini lakini fomu 6 tuu ndizo zinakua na haja sana NEC ingawaje hata ukipeleka zote 40 wanapokea
  3. ooki

    Nafasi za Kazi Utumishi

    Asante sana kaka
  4. ooki

    Nafasi za Kazi Utumishi

    Msaada Tutani wapendwa wanaJF Hivi zile nafasi kule utumishi unaweza kufanya application zaidi ya nafasi moja? Na haitoathiri kua shortlisted.. Mw mwenye ushuhuda atasaidia sana.. Shukrani🙏🙏🙏
  5. ooki

    Wapi ilipo ofisi ya Kata Kawe?

    Sawa kaka nimekuelewa muandikishaji mkuu😂😂😂
  6. ooki

    Wapi ilipo ofisi ya Kata Kawe?

    Hahahahhhh asante wadau
  7. ooki

    Wapi ilipo ofisi ya Kata Kawe?

    Jameni msaada kidogo, naomba kujua ofisi za kata ya kawe kesho nkaangalie jina langu kama limetoka kuandikisha wapiga kura kwa BVR
  8. ooki

    Uandikishaji wa BVR kwa mkoa wa Dar es Salaam

    Mkuu hiyo 11/06/2010 inamaanisha nini
  9. ooki

    Umefikia wapi kijana mwenzangu katika suala la ajira tangu umalize shule au chuo?

    Kaka i unapata hela za muhindi, nunua betting machine yako asa
  10. ooki

    Feedback Interview Tume ya Utumishi wa Mahakama

    Majina yameshatoka daily news la leo
  11. ooki

    Feedback Interview Tume ya Utumishi wa Mahakama

    Kaka umetumaliza kubabeki hapa ni kuchill tuu kuendelea na mambo mengine, hiyo anticipation yao na hr plan yao kiboko
  12. ooki

    Feedback Interview Tume ya Utumishi wa Mahakama

    Duuuh basi hiyo noma, tusahau tuu maisha mengine yanaendelea 😦😦
  13. ooki

    Feedback Interview Tume ya Utumishi wa Mahakama

    Daah😬😬😤
  14. ooki

    Nahitaji vitanda imara kwa bei nafuu

    Naomba kujua ni wapi wanauza vitanda vizuri vilivyo imara kwa bei nafuu, nisaidieni kijana mwenzenu nimeichoka sakafu
Back
Top Bottom