Nafasi za Kazi Utumishi

Nafasi za Kazi Utumishi

Andka barua ya kiswahili wewe!! Hivi wao hawajui kingereza mpk wakatoa tangazo la kiswahili?

Kwenye tangazo wamesema barua ziandikwe kwa kiswahili au kiingereza mwache mtu aandike lugha ambayo yupo comfortable
 
Andka barua ya kiswahili wewe!! Hivi wao hawajui kingereza mpk wakatoa tangazo la kiswahili?

xi. Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 14 Agosti, 2015
xii. Maombi yanaweza kuandikwa kwa Lugha ya Kiswahili au Kiingereza .
 
Inawezekana!
usisite kuomba nafasi yoyote unayokidhi vigezo na masharti hata kama zipo 10.
 
Jamani wakuu hivi KATIBU TARAFA na KATIBU WA KAMATI wanaitwaje kwa lugha ya Kingereza?

Ingia kwenye website ya utumishi huwa wanatoa tangazo moja kwa kiingereza la pili kwa kiswahili. Nadhani hilo la kiingereza litakupa jibu la swali lako
 
Omba zote siku ukiitwa usaili muda mmoja unatoa taarifa then unapewa utaratibu kupiga zote.Mimi niliwahi kupiga 2 in a day uzuri ilikuwa oral na niliitwa kazini kote.
 
Kwenye tangazo wamesema barua ziandikwe kwa kiswahili au kiingereza mwache mtu aandike lugha ambayo yupo comfortable
Km wamesema lugha mbili huoni km kiswahili ataandka kwa ufasaha kuliko English!! Lugha nilikuja Na meli mwache Mtu ajmwage kwa lugha yake asije anza andka I was joined hahaha
 
Back
Top Bottom