ooki
Member
- Feb 22, 2015
- 68
- 8
Wanajukwaa ndio naanza maisha naomba msaada wapi hapa dar naweza pata kitanda cha kueleweka cha mbao ngumu za kudumu lakini kwa bei affordable??! Nimepita manzese na magomeni bei affordable lakini mbao zao sio imara... Msaada tafadhali nimechoka kulala sakafuni😥😥