Nafasi za Kazi Utumishi

Nafasi za Kazi Utumishi

Tnx,me ngoja niombe ata stores.......

Kaka vip, naomba umisaidie maana nmeangalia tangazo hili sijaona Adress ya kutuma maombi. Maana naangalizia kwenye simu, kwenu mmeona ni anwani ipi, mnisaidie wakuuu
 
Kaka vip, naomba umisaidie maana nmeangalia tangazo hili sijaona Adress ya kutuma maombi. Maana naangalizia kwenye simu, kwenu mmeona ni anwani ipi, mnisaidie wakuuu
Aisee!
Jenga utamaduni wa kusoma tangazo kwa ukamilifu,utaratibu wa siku hizi wa kuomba kazi ni kupitia internet kupitia recruitment portal yao.
 
Aisee!
Jenga utamaduni wa kusoma tangazo kwa ukamilifu,utaratibu wa siku hizi wa kuomba kazi ni kupitia internet kupitia recruitment portal yao.

Ilkuwa haifunguki vzuri, ila baadae ilibidi nitumie pc nkaliona hilo.
 
Una cheti wewe au vikaratasi vya matokeo tu
 
Jaman anaye jua ku apply online tujuzane mana kila nikijaribu wananiambia niweke password na email na nikiweka inagoma ni ki creat stil inazingua

inabidi ujisajili kwanza kaka (ukifungua portal nenda sehemu waliyo andika register utaona maelekezo)
 
Jamani wakuu hivi KATIBU TARAFA na KATIBU WA KAMATI wanaitwaje kwa lugha ya Kingereza?
 
Hivi kwa sie ambao hatujapata Vyeti Original vya CHUO (bado havijatoka) tunafanyaje wakuu

unaruhusiwa ku apply kuna thread y maswali na majibu ya utumishi itafute hilo swali liliulizwa na wadau
 
Msaada Tutani wapendwa wanaJF
Hivi zile nafasi kule utumishi unaweza kufanya application zaidi ya nafasi moja? Na haitoathiri kua shortlisted.. Mw mwenye ushuhuda atasaidia sana.. Shukrani🙏🙏🙏
 
inabidi ujisajili kwanza kaka (ukifungua portal nenda sehemu waliyo andika register utaona maelekezo)

Mkuu kuna mtu namsaidia kujirejista lakini ile meseji inayotumwa katika email ili ufanye activation ya account mbona haitumei?
 
Back
Top Bottom