Recent content by Ooh yes

  1. Ooh yes

    JamiiForums Tanzania CWT kwawaka Moto Arusha yatoa tamko

    Kwanza rudisheni asilimia za matawi mmezikalia kwa kudai mutatoa mafunzo kwa wawakilishi lakini hamna kitu wezi nyinyi
  2. Ooh yes

    JamiiForums Tanzania Napinga CWT kukusanya maoni ya walimu ya kuunda bodi ya walimu

    kwanza warejeshe hela zetu za matawini
  3. Ooh yes

    JamiiForums Tanzania Napinga CWT kukusanya maoni ya walimu ya kuunda bodi ya walimu

    chama mfu
  4. Ooh yes

    JamiiForums Tanzania Anthony Mtaka VS Waziri wa Elimu ni matokeo ya ombwe la Katiba ya sasa katika ugatuzi wa madaraka

    kupitia hili tutapata tamko rasmi sasa watoto watoke saa ngapi
  5. Ooh yes

    JamiiForums Tanzania Nimechukia sana kukosekana kwenye ajira za jana. Nina jazba sana nimekata tamaa

    pole sana ndg,Mimi kilio changu ni kupanda daraja,yaani ajira ya 2016 kapanda,sisi wa 2014 bado,inaumiza sana
  6. Ooh yes

    JamiiForums Tanzania Kwenu Halmashauri ya Morogoro (V)

    lindi mc nako Idara ya elimu majanga wengi hawajapandishwa hasa ajira ya 2014
  7. Ooh yes

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma ambao hatujapanda daraja tukutane hapa

    nimeumia sana,hawa viongozi wetu wanaumiza akili zetu yaani miaka 8 sijapanda daraja tangu niajiriwe naishije na huu mshahara wa ualimu na hapo bado nmb mkopo nakatwa
  8. Ooh yes

    JamiiForums Tanzania Ewe mtumishi hasa Kada ya Ualimu. Je, utakuwemo kwenye wale 70000 waliopandishwa madaraja?

    usipende kukashifu kazi za watu,hii kazi now tunaifanya vijana tunaojitambua,huo ualimu unaouzungumza hapa ni wa enzi za mwl jk,halafu mwl sio mtu aliyofeli futa kauli yako,yamkini una kazi nzuri na kipato kizuri lakini usitumie kuwamamanga wenzako kumbuka nabii selemani alikuwa tajiri kupita...
  9. Ooh yes

    JamiiForums Tanzania Rais Samia mikeka yetu sisi maskini ni ya aina nne, usiipuuze

    Natamani sana nami mwl ningekuwepo katika mkeka huu ningewakilisha walimu wenzangu ila mama hajaniona
  10. Ooh yes

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla: Tanzania sasa inajenga Mifumo na sio kujenga watu kama enzi za Hayati Magufuli

    mbona unahangaika sana yaani unabadilikabadilika hata hueleweki tu umepoteza imani kwetu umekuwa Masaka madaraka leo unamsifia mama
  11. Ooh yes

    JamiiForums Tanzania Cheo ni dhamana, tuwe na busara

    kwani makonda bado tu hajanyea ndoo
Back
Top Bottom