Recent content by Onyok cardo

  1. O

    Ukishaweka fingerprint kwenye madai ya NSSF ni muda gani itachukua kupata mafao?

    Ofisi za Arusha wabarikiwe sana,ukiweka fingerprint ni ndani ya siku Saba za kazi account inasoma hawachelewi hata kidogo
  2. O

    Biashara gani unaweza kufanya kwa mtaji wa Laki 3 kwa mwaka 2025?

    Uza kuku wa kukaanga muhimu location na usafi
  3. O

    Kama wewe ni mfanyabiashara hii mikoa bila ndumba hutoboi

    Wilaya za bukoba mjini,missenyo ngara na karagwe ni ngumu bila uchawi hautoboi
  4. O

    hivi kwa kijana mtaji wa M1 unaeza anzisha biashara gani ambayo inamzunguko mkubwa??

    Fanya biashara ya oil za kupima diesel na petrol engine oil utafika mbali niamini mtaji mzuri kwa kuanzia
  5. O

    Kumbe kuna baadhi ya Sekta Binafsi watu wanaishi kama wako peponi vile

    KPI unaielewa maana yake,private sector isikie siyo kwa wavivu
  6. O

    Wakuu kati ya kampuni hizi za sola D.light, MySol, SunKing na nyingine unazozijua ipi imara na mzuri?

    Hakuna Tv hapo Mimi nilikuwa na Tv yangu japo wanayo mitambo yenye Tv pia
  7. O

    Wakuu kati ya kampuni hizi za sola D.light, MySol, SunKing na nyingine unazozijua ipi imara na mzuri?

    Nimechukua mtambo wa Zola mwaka jana,nilichukua flex marx Ac unalipia kianzio 185,000/= malipo ya mwezi ni 99,000/= kwa muda wa miaka minne na nilipewa Sola ya watts 240 na battery yao ni watts 640 na pia unapata Taa Tisa na inverter ya watts 300,Mimi nilichukua kwa mkopo that's why nimeeleza...
  8. O

    Wakuu kati ya kampuni hizi za sola D.light, MySol, SunKing na nyingine unazozijua ipi imara na mzuri?

    Nakushauri chukua mtambo wa Zola hautajutia mkuu,Zola Wana battery imara sana.
  9. O

    Je unatamani kuja kutafuta maisha dodoma Jiandae na Bei hizi za Pango ya Nyumba

    Napenda nifahamu vipi kwa hali ya Dodoma kwa mshahara wa laki tano mtu anaweza kuishi na mke na mtoto mdogo wazoefu wa Hilo Jiji tusaidie
Back
Top Bottom