Recent content by onyinye

  1. onyinye

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kutafuta maisha nje ya Tanzania

    Hiyo ni Harare to South ila maximum unatakiwa uwe na 250,000 hii ni tz to South njia ya bus
  2. onyinye

    JamiiForums Tanzania Watupie neno hao waheshimiwa!

    Naona bora hawa wastaarabu kuliko wale wenzetu
  3. onyinye

    JamiiForums Tanzania Tuna watoto 4, wote kwa operesheni, mimba ya 5 (na mke alishafunga kizazi)

    Kaka imesema aisee Dr. Kamugisha aliokoa maisha yangu ilikua nife mimi na mtoto. Kamuone Dr. Kamugisha atakusaidia. Yupo muhimbili
  4. onyinye

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuchunguzana simu: Ni ushamba wa mapenzi au ndo ujanja?

    Kumbe ndo tabia zenu eee
  5. onyinye

    JamiiForums Tanzania Haijalishi nina umri gani, Bado napenda sana kuangalia katuni!

    Saanaa rango.
  6. onyinye

    JamiiForums Tanzania Mchumba kapendeza jamani huyo

    Mwanga huyu.
  7. onyinye

    JamiiForums Tanzania Mke mwema hutoka kwa mungu mme mwema hutoka benki

    ndo manake babu weee
  8. onyinye

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unajua anavyovihitaji mwanamke kutoka kwa mwanaume ??

    Mtaishia kujitetea tu, Mara makavu laivu sojui nini hamna lolote.
  9. onyinye

    JamiiForums Tanzania Samsung window phone! Msaaada jamani..

    Kweli hata mimi ninayo samsung SGH i917 windows 7 yani siwezi kudownlod chochote inagoma kabisaa.
  10. onyinye

    JamiiForums Tanzania Katuni hii inatufundisha nini jamani?

    Kuzaa ni kupata.
  11. onyinye

    JamiiForums Tanzania Jamani Sembe itaua watu... Check huyu tena

    Huyu nini hajui kinachoendelea asingekubali,
  12. onyinye

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi wanachitchat!!

    Asante ndugu. Nahisi nshakuwa mwenyeji humu.
  13. onyinye

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi wanachitchat!!

    Ndicho kilicho kuleta huku, vimwana hata kukaribishwa bado umeshaonyesha hisia zako. Mhhh sijui tusubiri wakubwa zetu tuone watakavyo kupokea.
  14. onyinye

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi wanachitchat!!

    Hodi hodi jamani, nimesikia makelele nikasema ngoja nisogee niulize kulikoni, kumbe! Huku maraha tu. Naombeni mnipokee.
  15. onyinye

    JamiiForums Tanzania Maeneo yapi yanafaa kujenga kwa sasa Dar es salaam

    Au mlandizi ndo mpango mzima.
Back
Top Bottom