System Development ni mchakato unaopitia hatua nyingi na inahusisha watu mbalimbali ingawaje, inategemea kama ni project ndogo ama kubwa na kulingana na uhitaji wa mteja. Unaweza kupitia post yangu upya maana nimejaribu kuiweka vyema upya kwa kuwa link niliyoweka awali ilikuwa na changamoto...
Mhandisi wa kompyuta huchanganya uhandisi wa umeme na sayansi ya kompyuta ili kutegeneza teknolojia mpya. Wao hupanga, kujenga, na kuratibu vifaa vya kompyuta katika kompyuta za kisasa.
Wahandisi hawa wanazingatia kuunganisha vifaa(hardware) na programu(software) katika mfumo mmoja...
Habarini wana jf, naomben Kufahamishwa siku hz utaratbu wa TCU na hesleb kutoa mikopo kwa wanaojiendeleza vyuo vikuu ukoje? maana nilisikia hapewi mikopo nowdays!!
Uko sahihi #Debora ila mara nyingi hawa uwa ni malimbukeni wa ushabiki!, ushabik ambao hauna busara ndan yake, na asilimia chache sana wameenda shule..!
Suluhisho ni mahakama...! sheria zipo, tafta ushaidi wa uhakika moja ni makovu yako.. kutishia kuua ni jera mja kwa 1 japokuwa hata wewe utabanwa kdogo kwa upande fulan km unavyojua ilvyo msumeno!.., kiulaiiiini kabsa anaachana nae.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.