Jinsi ya kuachana na mwanamke bila ugomvi

huyo si mke mwema, achana naye ikiwezekana mkimbie muachie chumba kaa mbali naye ila mwanao usimuachie, ukifanikiwa kwa hilo kuwa makini kutafuta mke mwingine

Ajuaye baba wa mtoto ni Mama; awakimbie wote ili mama ashike adabu yake!
 
Kitu alicho kikataza mungu lazima kina madhara tu.

Kitu kinacho nichekesha unamuogopa huyo mwanamke kuliko mungu.

dogo anaye toa roho ni mungu....yani ukiona mtu kauliwa kwa risasi ujuwe ndo alivyo andikiwa.

huyo mwanamke hawezi kukua kama mungu hajandika kifo chako kipitie kwake...usimuogope.

Kila maiti inamkuta mtu kwa amri yake mungu..kuliwa na jambazi au sumu ndo ilivyo andikwa.

Fukuza kabisa afu nenda kaowe mwanamke mwingine kabla hujasex naye.
 
huyo si mke mwema, achana
naye ikiwezekana mkimbie muachie chumba kaa mbali naye ila mwanao
usimuachie, ukifanikiwa kwa hilo kuwa makini kutafuta mke
mwingine

Sijapenda statement yako"MWANAO USIMUACHIE" as if yeye ndio anahaki zaidi na mtoto kuliko yule aliyembeba tumboni miezi 9.
 
hamia Somalia au Iraq. Akikufuata huko ujue anakupenda kweli. Vinginevyo kule unaweza kuanza maisha mapya bila bugudha. Ila ni lazima uoe
 
Kama ulikuwa huna mipango naye in future kwa nn ulizaa naye kwa hiyo hamkuwa mnatumia kinga br?pole lkn chuja comments poa ufanyie kazi fasta
 
huyo si mke mwema, achana naye ikiwezekana mkimbie muachie chumba kaa mbali naye ila mwanao usimuachie, ukifanikiwa kwa hilo kuwa makini kutafuta mke mwingine

mkuu, kumkimbia si suluhisho, inatakiwa umlipe huyo binti, umesema hana shule, then umuache so what next juu ya lyf yake na mtt, huenda gia yako ilikuwa ni kuoa ili ukamue mzigo ss umepata peer pressure ya kuwa na mke msomi au bint mwingine wataka kumshit, its not fair bana, kama hana shule mpeleke shule, kama mkorofi jitizame na wewe unavyomtendea, kama ikishindikana kabisa muwezeshe kwanza na mradi wowote wa kujikim yy na mtt then sepa kivyako. at LAST acha zinaa..
 
kama ww ni mtu unaye mpenda Mungu na kumshirikisha kwa kila kitu piga magoti na fanya maombi uku ukiwa unafunga ndani ya siku saba au na zaidi itategemea na uzito wa swala lenyewe mweleze Mungu mwambie unahitaaji uhuru unahitaji mke mwema hakika atakupa njia na kama ajakupangia huyo mwanamke hakika Mungu ni muweza atatenda muujiza, pia haya yanakukuta kwa sababu ya kutanga mbali na Mungu katika maisha yako zingatia hayo utaona muujiza ndani ya maisha yako
 
Pole sana,nakushauri usionyeshe kupambana naye,jifanye umebadilika siku hizi, unamzimia,ucsex nae na pale inapobd,do kwa kiwango cha chini,alafu huku ukiwa hostel unapunguza mawasiliano naye kwa kujifanya upo bize, mwisho utamboa,na mtaachana tu.CHEZA NA AKILI YAKE,usitumie ubabe atakuua
 
Wanawake mpoooooooooooooooooooooooooooooooooooo???????????? Oneni at the end mnavyofikiriwa.
 
Malipo ya uzinzi na uasherati. Na bado viboko vitakuandama. Si mnafurahi kuitwa vidume vya mbegu?
 
Ukienda kinyume na mapenzi ya Mungu matunda yake ni mateso. Yesu ailikuja kwa ajili yako. Ninakushauri umpe Yesu maisha yako ayaongoze na hilo tatizo lako litakwisha lenyewe.
 
akishka kisu swe mbebee panga kisha unamfanyia kweli c kumtisha, akibeba chupa we kamata nondo na usiirejeshe chini kama haijafanya kazi iliyokupelekea kuinyanyua. fanya hivyo mara mbili kama ujamwona katulia mwenyewe. dawa ya moto ni moto tu siku zote.
 
Suluhisho ni mahakama...! sheria zipo, tafta ushaidi wa uhakika moja ni makovu yako.. kutishia kuua ni jera mja kwa 1 japokuwa hata wewe utabanwa kdogo kwa upande fulan km unavyojua ilvyo msumeno!.., kiulaiiiini kabsa anaachana nae.
 
Fukuza kabisa afu nenda kaowe mwanamke mwingine kabla hujasex naye.

Hahaha hii kali aliyekwambia hasex naye nani wewe? wenyewe wanagegedana kila dakika, saa, siku, wiki ndo maana analalamika hapewi heshima ya mume
 
Back
Top Bottom